Siri ya mayai ya kienyeji na mkojo wa mama kwa mtoto mtundu,mkorofi,kiburi....
Mayai 3.
Kama mwanako amebadilika gafla
Ameanza kuvuta bangi.
Kunywa pombe
Kulewa.
Wizi.
Yaani tabia zote mbaya...
Akizungumza leo, Septemba 29, 2026, Mkoani Morogoro wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa 31 wa Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Wadogo Tanzania (MVIWATA), Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Balozi Dkt...
Guys kwanini miaka 40? Watu wengi wanakuwa serious wanapofika umri wa miaka 40.
Yaani akishafikisha 40 ndio anaanza kuwa na mikakati, saving, biashara, kujenga etc, ulikuwa wapi huko nyuma?
Je...
Kwamba Mwanaume ambaye akikojoa na hajambi hana uwezo wa kumfanya Mwanamke wake / Mke wake akibeba Mimba amzalie tu Watoto wa Kiume.
Kuna Mtu namjua (tena Kiongozi) Yeye ana Watano na Wote ni wa...
Wadau mwenye ngoma za Michael Jackson kama ifuatavyo anisaidie.
Smooth criminal
They don't care about us
When I come of age
Stranger in Moscow
Blood on the dance floor
N.k.
Nitashukuru sana .🤝
Hali ilivyo Mbezi, Dar Es Salaam kwenye Stendi Kuu ya Mabus ambapo inaripotiwa kwa taarifa za awali kuwa kuna mgomo wa Madereva wa Mabus wakigomea kukatwa alama kwenye Leseni zao hivyo wamegoma...
Naomba nikujulishe kwamba:
1. Treni siyo Gari ni mashine au mtambo unaotembea
2.Treni Hainaga Dereva bali ina msimamizi tu kama zilivyo mashine za kusaga inasimamiwa na Operetor Au machinest
3...
Mfano huyu Mugisha koti lake kufuatwa na nyuki Waswahili wamekimbilia ni uchawi!
Akili za Waafrika wengi zikishindwa kuelewa jambo kwao inakuwa ni uchawi.
RUVUMA: Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeendelea kutoa huduma kwa wananchi kupitia Kliniki za Ardhi, zinazolenga kupunguza migogoro ya ardhi na kuongeza uelewa...
Mwaka 2030 sio mbali sana na kwa Hali ilivyo kama CCM hakitagawanyika na kusambaratika uhalisia mchungu ni wao kuendelea kutawala kupitia chaguzi za hadaa na nguvu ya vyombo vya dola...
Tanzania ni nchi ya ajabu sana, unakuta sehemu nyingi zenye viwanda vya maji vinavyouza maji ya chupa nchi nzima raia wanaozunguka hivyo viwanda hawana maji safi laini ya bomba hata ya kunywa na...
Kuna mpango unaendelea wa kundi la wahuni, unapanga kuchoma transformer za umeme october 29/2026
Mpango huu ni wa kulaani kwa nguvu zote kwasababu utalaza wananchi giza kwa muda usiokuwa na...
Habari ndugu zangu, naomba msaada.
Niliwasilisha ombi la mafao ya mkupuo (lump sum) NSSF tarehe 31 Julai, na namshukuru Mungu nilifanikiwa kutoa alama za vidole tarehe 10 Agosti katika ofisi ya...
●Vipi rais akifanya makosa?
●Wakuu wa mikoa na viongozi wengine nani anawakata points kwenye vyeo na vyeti vyao?
●nani anawakata points askari?
maana wao ndio maarufu kwa kula rushwa nchi hii bila...
Serikali imeanzisha mfumo wa point kwa madereva wanaovunja sheria za barabarani. Lengo ni rahisi: ukifanya makosa, unapunguziwa point; ukizidisha makosa, leseni yako iwe hatarini.
Lakini hii ni...
Kuna mambo yanachekesha kwelikweli, kumeibuka nyuzi kibao hapa jukwaani zikimwonesha Kafulila kama mtu smart sana😂.
Kumbe mama yenu anataka kumwachia kiti. Mwambieni amefeli, hata yeye yupo...
📌Ndani ya nchi aipendelea fursa, saaa mwelekeo ni hadi nje ya nchi.
📌Mwigulu asema amewasisitiza ishiriki kwenye mipango ya serikali
📌Yatengenezewa mazingira hadi Qatar, nia ni iwajibike Dira 2050
Hii bongo 30 imefanya watu kuwaona hawa jamaa vizuri, wengi wao wamechoka, wengine wana maalaama uso, wengine nyuso zao zimejaa ulevi wa matapu tapu
Wengi wao waliishia katika uraibu maana ustaa...
GLOBAL LEADERS AND DEVELOPMENT PARTNERS
VOICE SUPPORT FOR THE AU CHAMPION’S MATERNAL
AND CHILD HEALTH AGENDA
High-Level Heads of State Side Event
UNGA81 | New York | 23 September 2026
Nimekuwa Kama Kichaa Kwa Mawazo…
Wakuu, kuna kipindi maisha yanakufikisha sehemu ambayo hata wewe mwenyewe hujielewi tena.
Unaamka asubuhi, mwili upo lakini akili iko sehemu nyingine. Unajaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.