Dkt. Bashiru: Ipo siku ukweli utashinda na haki itashinda

Dkt. Bashiru: Ipo siku ukweli utashinda na haki itashinda

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,233
Reaction score
3,807
Akizungumza leo, Septemba 29, 2026, Mkoani Morogoro wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa 31 wa Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Wadogo Tanzania (MVIWATA), Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Balozi Dkt. Bashiru Ally, amesisitiza kuwa kama vile nchi inavyotakia amani na haki mataifa mengine duniani ni vyema pia kutendeana haki, kuheshimiana, kulinda umoja na amani ya taifa.

"Hata haya ya Cuba na Palestina nina uhakika ipo siku ukweli utashinda na haki itashinda. Lakini pia tunavyofanya hivyo, kuwatakia amani, haki, heshima wenzetu nje ya Afrika, sisi humu ndani pia tujipange kutendeana haki, kuheshimiana, kulinda umoja na amani ya taifa letu."- Amesema Dkt. Bashiru


 
Haki nchi hii ni mpaka siku ile Cha Cha Mauaji kitakapoondolewa, au siku ile ambapo familia zile za shetani zitakapoondolewa kwenye umiliki wa CCM.
 
Back
Top Bottom