Kama ana uchungu na Tz, ni nini kinamzuia kuongea hapo hapo??.....ni anataka kuogopewa ili kupata maslahi yake binafsi??
Nyie wa tz kina Mshana Jr, mbona akili zenu ndogo sana, yaani mnategemea...
Video: Wasafi TV
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia kwa katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi, Dkt. Habiba Hassan Omar imesema miradi ya flyovers, daraja la Uzi pamoja...
Jamaa yangu juzi kafunga 40yrs old,
Analalama ameanza kuumwa viungo vya mwili vibaya mno, anadai miguu yake imekufa ganzi Muda MREFU unyayoni,
Analalama mwili wake wote kuwa Kuna vitu vinamchoma...
Niko naangalia la liga hapa ñaona kama inascratch inaleta mawimbi, na hata mchana niliona kwenye MECHI ya al nassr Hilo tatizo, lakini za CHAN hazina shida.
Ni king'amuzi changu au kuna mwingne...
Dodoma, 20 Agosti 2025. Wiki moja baada ya uzinduzi wa kitaifa jijini Dar es Salaam, kampuni ya huduma za kifedha kwa njia ya simu, Mixx, imeendelea na mpango wake wa kusogeza karibu huduma za...
Miongoni mwa matapeli waliowahi kutokea nchi hii basi mmoja wapo ni John Pombe Magufuli.
Alikusanya umati wa bodaboda, machinga na mama ntiilie na kuwadanganya kuwa wakate vitambulisho vya...
Taarifa ya Kitengo cha Mawasiliano Serikalini ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa imeeleza kuwa usafi umefanyika katika vyoo vya Shule ya Msingi Lima baada ya malalamiko kuhusu uchafu na ubora wake...
Wakuu mimi ni kijana wa miaka 28 elimu ya form six chuo niliishia mwaka wa 2 kwa sababu ya kuugua baada ya hapo nikajikita zaidi kwenye biashara ambazo ndio zinaharibu akili yangu.
Tatizo kubwa...
Wokovu kutoka kwa nini?
Unaporudia neno “wokovu” bila kuelewa, unakariri hadithi ya kubuni si ujumbe halisi.
Unawasikia Wakristo kila mahali wakisema:
“Yesu aliniokoa!”
“Alinikomboa kwa damu...
Wizara ya Afya Zanzibar kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO) imefanya utafiti wa Afya ya Akili kwa Wanawake Wajawazito uliofanywa na kubaini kuwa asilimia 30 ya Wajawazito wana tatizo...
Wakuu,
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Mwanzo katika awamu zingine wachimbaji wadogo hawakuwa wananufaika sana na sekta hii kutokana na bei ya madini na sheria kuwabana
Imagine gram 1...
Biashara huwa Kuna kupanda na kushuka, club element wasipofanya mapema reform ya wafanyakazi basi Ile club haishuki inaenda kudondoka na kufa kabisa
Nimeamua niandikie leo japo ni tukio...
Moja kati ya nyenzo muhimu kwenye maisha yangu ni hii ChatGPT yaani toka nimeifahamu sijawahi juta na mpaka sasa tayari kupitia msaada wa ChatGPT nimefanikiwa kuingiza 100 Million katika michongo...
Tukio kama hili ni nadra sana kutokea
Wapo Watu wa watatu kila mmoja kwa umuhimu wake anataka kutumia barabara.. Sasa nani ampishe nani
Kuna king'ora cha mwanasiasa, anawahi anakojua
Kuna...
Alexander III wa Makedonia maarufu kama Alexander Mkuu alizaliwa mwaka 356 K.K. mjini Pella. Alipokea mafunzo ya kijeshi na kielimu chini ya uangalizi wa baba yake, Mfalme Philip II, na pia...
Juzi Kati hapa nilienda bank nikatoa kiasi cha pesa ATM, halafu risiti Ile nikaiweka kwenye pochi, sasa Leo shemeji yenu hapa tulikua tunapiga story nikawa namwambia kwasasa mambo ya pesa sio...
Tanzania, kanchi kazuri kenyewe ila sasahivi kuna kikundi cha watu wameanza kukaharibu.
Hii nchi ina amani sana kwa maana ya kwamba hakuna vita, na ni nchi kubwa nzuri, ina miji mizuri, vijiji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.