Eli Cohen JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 11,057 Reaction score 35,260 Aug 21, 2025 #1 Tunaogopa kujitambulisha na kujulikana kwa mamlaka au nini haswa?🤣🤣 Au it is not just worth it kuwa na verified badge?🤔
Tunaogopa kujitambulisha na kujulikana kwa mamlaka au nini haswa?🤣🤣 Au it is not just worth it kuwa na verified badge?🤔
ManchoG JF-Expert Member Joined Jul 31, 2017 Posts 3,753 Reaction score 5,564 Aug 21, 2025 #2 Wanazo wanatuzuga tu, kipindi kile cha nyuma Kuna ma email tulijiunga bila kupenda Ningejua nisingethubutu kuverifaii
Wanazo wanatuzuga tu, kipindi kile cha nyuma Kuna ma email tulijiunga bila kupenda Ningejua nisingethubutu kuverifaii