Kuna watanzania wanamkataa Yesu Kristo, Lakini Wanaishi kwa kufuata mfumo wa Tarehe Yake ya kuzaliwa
Ni ajabu, dunia inavyojikanganya. Watu wengi wanakana kuwepo kwa Yesu Kristo, wanabeza...
Filamu ya "Dead To Rights," inayohusu Mauaji ya Nanjing wakati wa Vita vya Pili vya Dunia, imeendelea kutawala katika mauzo ya filamu ya China ya majira ya joto, ikiingiza zaidi ya yuan bilioni...
Huwa nawashangaa sana kina Polepole na genge lake wakitoa matamko eti...inakuwaje Uchaguzi Mkuu ufanyike bila chadema...wakitaka kuwaaminisha watu kama vile Rais au Tume ndio imewazuia Chadema...
Tujizuie Kuwa na Imani Kama ya Tomaso
Tomaso ni Nani
Katika Agano Jipya, Tomaso, ni mmoja kati ya mitume 12 wa mwanzoni waliochaguliwa na Mwokozi wakati wa huduma Yake katika mwili wenye kufa...
Wadau Mbona Pole Pole hapatikani LIVE FACEBOOK/YOUTUBE, kuna Mwenye Updates zozote ? Au Kapigwa Spana ??? Si alitangaza kuwa ataingia LIVE LEO 21.08.2025 SAA MBILI USIKU ?
Unajua kinachoangusha mti uliokuwa unakatwa sio lile pigo la mwisho.. Japo hilo ndio huonekana kama ndio limemaliza kazi
Nyuma yake kabla kuna mengi yalishapiga mengine on target na mengine off...
Kwenye press yake ya mwisho ile ya kushtukiza kavishutumu vyama viwili vya ACT Wazalendo na CHAUMMA kuwa ni vyama pandakizi vinavyofanya kazi ya CCM kwa manufaa ya CCM
Amehoji kuwa ni kichekesho...
Habari za jioni.
Katika masuala ya tiba za kienyeji tiba za kisuna na mengine viumbe hawa hutumika sana.
Ng'ombe, mbuzi, kuku, njiwa, paka mweupe na mweusi, bizi, ngulizi na ndege aina ya nofi...
Wakuu
Huu ni utabiri wangu,jamaa nyota imemuwakia sana na huenda akawa Waziri Mkuu katika baraza lijalo la Mawaziri.
Jamaa hakuwa na cheo cha juu sana kabla ya Rais Samia hajawa Rais,mara baada...
Ukifatilia stori mbalimbali zikiwemo zile zinazoletwa humu jf kuhusu majini (viumbe wasioonekana) utaelewa majini wapo katika pilikapilika za maisha kama ilivyo kwa mwanadamu wa kawaida.
Kwa...
Nimeishi mikoa yote hiyo hapo juu,nimeona idadi kubwa ya watu wa huko wanapenda sana kufuatilia siasa za kenya.
Yani ukiwa mara au kilimanjaro radio station nyingi zinazosikilizwa huko ni za...
Kuna jamaa huku mtaani namuonakama rofa kachukua milion 10 kaenda kuiweka Utt amis eti anasema anaitaka ikae miezi 24 hivi mtu kama huyu anaakili timamu kweli aisee wakuu yaani anaenda kuweka pesa...
Kupitia Clouds FM Polisi jijini DSM wamethibitisha kuwa katibu wa kanisa la Masanja amefariki kwa kujinyonga kwa uchunguzi wa awali.
Kamanda anasema ni kweli siku moja kabla ya kifo cha Katibu...
Ndugu zangu wana Jamvi mnakumbuka siku chache zilizopita, baadhi ya wateja wamekumbana na changamoto za kutumia huduma ya mtandao wa Vodacom?
So Vodacom Tanzania hivi sasa wanafanya maboresho...
WanaJamiiForums Habari zenu,
Nimenunua Pikipiki Mpya kwenye kampuni Fulani Tangia mwezi wa Tatu Hadi kufikia muda huu sijapata plate number na Kadi nikiwapigia wananiambia Chassis yangu...
Vodacom kwa kipindi kirefu umekuwa ni mtandao tegemezi kwasababu ya ubora wa huduma zao zinazopatikana sehemu nyingi nchini kuliko mtandao mwingine kama ifuatavyo;
1. Huduma za kipesa ( mpesa)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.