Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna makala moja niliona kuna kiongozi alikuwa gaidi alikuwa CIA mzaliwa kuwait na wana CIA baada ya kukamilisha lengo lao kuanzia hapo waliuliwa kuanzia yeye na CIA waliokuwepo hapo...
1 Reactions
5 Replies
401 Views
Nakusalimu katika jina la Bwana Yesu, Ni swali ambalo linaulizwa na wengi, je ni kweli mtu anaweza kuzishinda tamaa za mwili? Au vishawishi vyake? Anaweza kweli kuacha dhambi ya uzinzi, au...
4 Reactions
13 Replies
897 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu tisa kwa tuhuma za utapeli na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kupitia mitandao ya kijamii ya Facebook na WhatsApp. Kamanda wa Polisi Mkoa...
0 Reactions
7 Replies
573 Views
Kaa tafakari na sikitikia kizazi chako kijacho kitaishi katika ulimwengu gani. Tunaichekea sasa AI ila nyakati zijazo tutaililia na kuilaani na kwanini hatukuungana kupinga uhuni huu unao...
12 Reactions
101 Replies
4K Views
Anonymous
Nimetuma maombi ya cheti cha kuzaliwa toka tarehe 2.8.2025 na maombi yameshalipiwa lakini watu wanaokaa kwenye mfumo wa kupitisha hivyo vyetu hawafanyi kazi Yao ipasawavyo
0 Reactions
5 Replies
373 Views
Ukimuuliza mzungu what is your favourite country in East Africa anakujibu Kenya wakati ukiangalia sifa nzuri tumewazidi.tukiacha hali za kisiasa ila kuanzia vivutio na historia yetu ni ya kuvutia...
20 Reactions
293 Replies
9K Views
🚮🚮 Kama ushawahi kupitia content ya huyu jamaa utajua kuwa hii nchi ina vituko haswaa
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Ninaamini kasi ya vijana wa kike na wa kiume kujihusisha na maadili yanayohatarisha ustawi wao, kwa kiasi kikubwa imetokana na mitandao ya porno za waszi wazi. Mfano ni ule mtandao wa rahatupu...
7 Reactions
55 Replies
1K Views
Ukiona ndugu wanagombana mpaka kuuana hakuna kingine katikati hapo lazima utakuta sababu ni pesa.Aliyegundua pesa alaaniwe
0 Reactions
1 Replies
189 Views
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kutoa wito kwa Serikali kuingilia kati suala la Kampuni inayohusika na kukamata wanaoegesha vibaya vyombo vya usafiri vya moto (wrong parking), akidai huduma...
0 Reactions
2 Replies
893 Views
Mfano Mimi namiliki Biashara sita. Ninaingiza faida hadi mil 1 Kwa siku . Nina Assets nyingi . Sasa iweje nikubanie wewe kijana unayejitafuta ambaye hata ukipata Kazi utaishia kulipwa mil 1 au...
7 Reactions
16 Replies
507 Views
Utasikia bwana ametoa na bwana ametwaa au kazi yake mola haina makosa wakati huohuo anakemewa shetani ashindwe katika jina la yesu. Waafrika manajifikirisha kwa kuwaza na kuwazua kweli?
2 Reactions
19 Replies
598 Views
Haya matapeli yanayotumia biblia yangefutiliwa mbali. Huyu Nabii feki IPM hana tofauti na kina Tony au Mwamposa. Wako kinyume kabisa na maandiko matakatifu. Mlokole Setfree una maoni gani kwa...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Huyu ni rafiki w karibu sana,tulicheza pamoja na tukakua pamoja. Leo ameamkia nyumbani kwangu kifuru Dsm,katika moja na mbili analalamika yakuwa amekuwa anafatwa na Njiwa kila nyumba aliyokuwa...
2 Reactions
13 Replies
845 Views
Anonymous
Hii Mamlaka inafaa gharama zao zipitiwe tena kwani wana charge gharama kubwa sana bila kuzingatia biashara mtu anayofanya ambayo inafanya mazingira ya kufanya biashara kuwa magumu. Hii mamlaka...
0 Reactions
1 Replies
237 Views
Akimpenda dume fulani anampa chenyewe,akisumbuliwa na hajampenda dume anampa famba ajisukutue wee😃
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Unaamini muonekano unaweza kukupa au kukunyima fursa ???
10 Reactions
101 Replies
2K Views
Kulingana na report mbalimbali, Nchi ya Tanzaia ndio nchi pekee africa inayoshikilia record ya kuingiza bidhaa kwa wingi kutoka Japan, na hapo tunazungumzia used cars. Nitaweka viambatinisho...
3 Reactions
2 Replies
377 Views
ALIYEKUWA Askari Polisi FFU, Ramadhani Hassan Ali maarufu Afande Rama, amefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Vuga, kujibu mashtaka mawili yanayomkabili. Mbele ya Hakimu Khamis Ali Simai...
10 Reactions
177 Replies
18K Views
Back
Top Bottom