Hasa hawa wahindi,wanachimba visima vya bure bila malipo,
Wakishachimba wanajengelea chini mpaka juu wakimaliza wanaandika maneno yao ya kiarabu na wanaondoka hawadai chochote
Kisima chenyewe...
Jina lingine huitwa ''Ulevi wa kifo'' haya ni 'maumivu ya kifo' au mafuriko ya mauti. Hakika Kila nafsi itataabika wakati wa mauti yake. Kwetu sisi waislamu tunazo dalili ambazo humpata mtu siku...
Matendo ya zamani yanabaki ni makosa mbele za Mkono wa sheria hata kama ukiamua kuanza kufuata sheria leo.
Kwa kusema hivyo kumbe mtu yeyote akiamua kuanza kuishi kwa kufuata sheria leo, makosa...
Moto umezuka na kuteketeza nyumba yenye vyumba tisa ambayo anaishi mmoja kati ya wachungaji wa iliyotokea usiku wa jana Jumatano, Agosti 20, 2025, hakuna mtu aliyepoteza maisha lakini mali...
Nimemshangaa sana mzee wetu Warioba Kuishangaa Tume na kuzishangaa Kanuni za uchugazi badala ya kuwashangaa Viongozi wa Chadema (Katibu Mkuu) ambaye kwa Jeuri tu walisusia kusaini kanuni hizo za...
Shirika la Reli Tanzania linatarajia kuajiri wafanyakazi 2,460 katika mradi wa reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) kwa vipande viwili vya kutoka Dar es Salaam mpaka Makutopora.
Ajira hizo ni...
Ripoti za Siri zimevuja
Cremlin kumewaka Moto, majasusi wanadai Marais wengi WA afrika ni vibaraka wanaotumiwa kuiba rasilimali za nchi zao kwa manufaa ya magharibi.
Majasusi wanasema viongozi...
Kama kichwa cha habari kinavyosema,huu n mwez watu hali kama unavyo iona.
Cc;Mwenyekit wa mtaa machifoni
Cc:Mbwana Afya wilaya ya kiteto
Cc:Mkurugenzi wilaya ya kiteto
Cc: Mkuu wa mkoa wa manyara
Vyama hivi vinavyotumika kama stepping stone ya career za watu, kufanyiana unafiki wao kwa wao, loyalty chalii.., kurubunika, etc
Upande wangu, i dont think so.
Viongozi ni reflection ya sura ya wananchi. Yaani kwa lugha nyepesi ni kwamba ukitaka kufanya tafiti yoyote kuhusu wananchi usitumie gharama kubwa. Wewe angalia viongozi wao, vivyo ndivyo walivyo...
https://youtu.be/mLsO9uliFNA?si=uMIgYqnPpWRtOj2o
Nitakuwa natoa mfululizo wa makala za Miradi mikubwa ya Maendeleo inayotekelezwa Kila Mkoa.
Ninaanza na Mkoa wa Kigoma.Unaweza sema Kigoma...
Najua hii posti akiona ndugu yangu Lucas lazima atabubujikwa na machozi ya furaha..
Lakini kwa jinsi mwaka huu ulivyo baada ya Chadema kujitoa kwenye uchaguzi Sisiemu hakuna wa kushindana nao...
Hii habari imenishtua mno. Hapa marekani nimekutana na taasisi Moja, nimeambiwa ndani ya mwaka kuanzia Sasa kuna mwanasiasa kutoka Africa mashariki atachaguliwa kuwania tuzo ya amani ya Nobel...
Mjumbe Wa Nafsi Za Watu
Kwanza, tuanze na jambo la msingi. Watu husema “Mungu ni mmoja,” lakini maandiko ya Kikristo yanasema Yupo katika sura tatu: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Hii siyo...
Niliona upanga dar magari ya wahindi na waarabu wanaenda pale kwenye njiwa wanarusha mtama wengi sana nikajisemea labda ni mapenzi tu.
Wiki ilopita nikaenda zanzibar pale darajan nilikuta watu si...
Itawavutia wengi kwa maana atapata package ya michezo ya nyumbani na ligi maarufu za epl na uefa.
Dstv impoteza ubora alafu bado ni very expensive, haijalishi hata ukiweka kifurushi cha juu...
Hapa naomba nizungumze na wapambanaji, the super lucky, best performers na wasioridhika na mafanikio, wanawake kwa wanaume. Guys we got a work to do.
Kwa muda wa hivi karibuni hali si hali...
Kauli “There is no free lunch in Africa” ina maana ya kwamba:
Hakuna kitu unachopewa bure bila gharama — kila kitu kina bei yake, iwe ni pesa, muda, nguvu, au fadhila.
Katika muktadha wa Afrika...
Habarini,
Mwafrika yoyote aliyesoma kweli na kujitambua lazima keshaelewa kuwa uislama na ukristo ni uongo kulingana na malengo na hasara zake kwa waafrika ikiwepo kupiteza asili na utamaduni wa...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Kenani Kihongosi ameongoza Jogging la hiari katika hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Samia Connect ambalo linaanza katika Viwanja vya Mgambo kuzunguka baadhi ya maeneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.