Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)- Zanzibar kimetoa taarifa ya kutosaini Kanuni za Maadili za Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), ambapo kati ya sababu ambazo zimeelezwa ni kuwa bado ZEC...
0 Reactions
0 Replies
198 Views
Inaniuma sana unakuta una vigezo vyote lakini unakosa,alfu anakuja mtu anapata hiyo kazi na hana vigezo kisa ni kabila moja na HR .inauma sana hakika inakatisha tamaa
9 Reactions
51 Replies
2K Views
Wako watakaofanikiwa kwa kufanya kazi kwa bidii Wako watakaofanikiwa kwa sababu wanajua kuna wengine wanajua mambo mengi ila hawajafanikiwa Wako watakaofanikiwa kwa sababu ya connection, wengine...
5 Reactions
5 Replies
260 Views
Mange Kimambi aelezea jinsi alive furahishwa na uamuzi wa Samia kumuengua Ummy Mwalimu mbio za Ubunge jijini Tanga. My take : Msishangae Mange akabadilisha gia angani akaikacha " Timu" Yake ya...
4 Reactions
1 Replies
700 Views
Nikiapply loan verification code sipati akati number ya simu ni sahihi na iliyopo kwenye profile tatizo ni mtandao au ni nini!?
1 Reactions
2 Replies
575 Views
Wakuu habarini hapa Jamvini? Weekend ya leo naomba mwenye uelewa mtoe ujuzi wa namna ya kuwa au kuifhinishwa kuwa Super Agent au AGGREGATOR wa mitandao mbali mbali ya simu haya TZ kwa huduma za...
1 Reactions
4 Replies
745 Views
Haya ni maajabu ya uumbaji wa Mungu huu ni mmea jamii ya minazi, kisayansi unajulikana kama “Iriatrea deltoldea”—maarufu kama “Huacrapona Palm” Mmea huu hujulikana pia kama, “Penis Tree” au...
0 Reactions
0 Replies
408 Views
Je umewahi kusikia milango 7 ya kuzimu ya Ziwa tanganyika? sio hadithi za kusikika ni vitu ambavyo vipo na vinatendeka hadi sasa, tutaileta mada hiyo siku zijazo, leo tunazungumzia Mizimu...
11 Reactions
42 Replies
6K Views
YESU – WOKOVU KWA MATENDO: 1. Kutoa sadaka (Matayo 19:21) 2. Ibada (Yohana 4:23) 3. Sala na kufunga (Marko 9:29) 4. Kutoa vinywaji vya sadaka (Marko 9:41) 5. Kutahiriwa (Matendo 7:8) 6...
1 Reactions
39 Replies
2K Views
Baada ya kusulubiwa kwa Yesu wa Nazareti mnamo mwaka 30.Ad harakati aliyoanzisha iliendelea ndani ya mfumo wa Uyahudi wa Hekalu la Pili. Wafuasi wake wa awali, ambao walikuwa Wayahudi, walimwona...
6 Reactions
45 Replies
2K Views
Muamala unafanyiwa kazi masaa, customer service hawapokei, huko mitandaoni hawajibu. This bank is 🚮🚮
0 Reactions
6 Replies
627 Views
Wana historia na wana jilojia wametoa matokeo ya utafiti wa neno Alfa na Omega hayapo kwenye maandiko ya Injili ya kale nani kayaingiza? Codex Vaticanus (karne ya 4): Haipo. Codex Alexandrinus...
0 Reactions
34 Replies
1K Views
Jamani, hadithi ya Kaini na Habili inakwamisha kidogo ikiwa tukaangalia kwa logic. Kaini anaua Habili, kisha anapelekwa katika nchi ya Nodi, eneo lililokuwa mbali na Edeni. Swali ni, Nodi ilitoka...
1 Reactions
10 Replies
359 Views
Kuna kampuni waajiriwa wake karibia wote ni interns wale wa kujitolea bure au posho ya laki wakiwa na matumaini ya kuajiriwa siku moja. Lakini ahadi hizo huwa ni maneno tu, wakizichoka na kuondoka...
7 Reactions
55 Replies
2K Views
UTAZAMAJI WA MWILI KUPITIA KIGANJA Unasaidia sana kufahamu kila aina ya matatizo yaliyopo ndani yako. Kupitia kiganja chako unaweza kufahamu nyota yako halisi, unafahamu matatizo...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Serikali lazima itishe na kamwe isikubali kupewa Masharti na Raia au Kikaragosi. Serikali ya aina hii GENTAMYCNE nitaipenda sana tu. Tangia lini hata katika Ngazi za Familia Mtoto au Mtu wa Nje ya...
4 Reactions
13 Replies
436 Views
🗯️ Toleo jipya la app ya phone call kwa Watu wa android limeweza kubadilishwa ambapo kwa sasa utakutana na button 3 wakati ile feature ya "Recent na favorite imekua kitu kimoja kinaitwa Home...
4 Reactions
14 Replies
761 Views
Leo nimeujaribu huu mchezo nimegundua watu wanatapeliwa, ukweli ule mchezo huwezi kushinda pesa nyingi kama watu wanavyodhani, aviator imetengenezwa kwa ajili ya kula tu sio kuliwa😀😀. Leo...
20 Reactions
71 Replies
8K Views
Najua wengi tunamjua Elon musk kwenye Masuala ya Magari ya Kisasa yenye kutumia Umeme EV Pamoja na Masuala ya Safari za Anga. Sasa amekuja kwenye upande wa Smartphone lengo ni kuleta ushindani na...
3 Reactions
7 Replies
749 Views
Back
Top Bottom