Habari Wadau:
Inafahamika kuwa kila binadamu ana kile anachokipenda zaidi, na asichokipenda zaidi katika vyakula na matunda..
Kwenye upande wa matunda nayapenda mengi tuu, ila katika hayo yote...
Nianze kwa kutoa hongera kwa fans wangu wote ambao mlinimiss na ambao mmefurahi kuniona tena kwenye jukwaa hili pendwa. Back to the point.
Amini kwamba matangazo ya nje ( Outdoor Adverts) ya na...
Sijawahi kutana na panya wanadharau kama hawa pia wananuka balaa na paka naye hataki hata kuwala
Naiomba serikali iingilie kati huu mzozo hapa DAR mana ni kero kubwa sana .
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Hawa watu wa sudani kusini ambao walikuwa na njaa na kufukuzwa na waarabu wenzao wa Sudan mbona wamemugeuka kuwa maarufu ghafla sana...
Huko Telegram kuna makundi ya WhatsApp yanatangaza kuuza video inayo waonyesha wawili wali Tanzania wakifanya mapenzi ya jinsia moja..
Makundi ha to yanatoza Kati ya she elfu tatu hadi tano, na...
UFAFANUZI: Forget vs. Leave
I forgot my book at home. ❌
I left my book at home.✅
Many learners confuse “forget” and “leave,” but the two are not interchangeable.
The phrase “I...
Kuna mtu anajiona wa Hadhi ya juu sana.
Hata salamu yake naongea kama unamlazimisha hivi, sauti kama anabana pua zote pozi za kujiona na Hadhi ya juu.
Sasa, Leo Mchana Kuna mpangaji...
Ndg zetu waislamu bila adhna asubuhi hamuwezi kuamka na kuswali au hata Ile mida y mchana kwamba Hadi mkumbushwe miaka na miaka?
Yaani hata kuweka alarm ya kuwaamsha kwamba muda wa swalaa...
Habari wadau.
Leo imetimia miaka minne toka kijana maarufu maeneo ya Yombo kwa jina la baba tiago.
Kijana huyu wa early 30 baba wa watoto watatu, aliuwawa kwa kuchomwa moto maeneo ya buguruni...
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amechemka hadharani kutokana na kile alichokiita huduma za aibu katika Hospitali ya Rufani ya Mkoa Mawenzi na kumwagiza Katibu Tawala wa Mkoa, kufanya...
Brother, Umeoa mwanamke muwe team ya kuweza kuunganisha nguvu pamoja kutatua changamoto ikiwemo za kiuchumi, hivyo inabidi na yeye aweze kutengeneza thamani (Vaue creation)
Kuna baadhi ya wanaume...
Kuna watu wanapenda kufuatilia maisha ya watu ambapo hutoweza kuwaepuka lazima ukutane nao tu. Watu hawa lazima kuna kitu wakiongea unahisi wanakukera.
Kuna mambo kadhaa k.v
1.Wewe ni mweusi...
Habari za masiku wana Jamiiforums
Wanaume tuwe wakali kwa wake zetu yani hizi marathon kila mwezi kuombana ruhusu kisa kwenda Dodoma, Arusha au mwanza kukimbiakimbia bila sababu.
Mambo...
Kila mara huwa nagombana na mama kwa sababu hatuendani kitabia. Ana maudhi sana.
Hajui kuongoza familia. Anapenda taarabu tu, matokeo yake amekuwa mtu wa vijembe.
Sasa kuna washkaji wameniomya...
Mnapenda vyakula visivyo na umuhimu kwenye mwli. Biriani Pilau...
Kwa nini msile ugalo tena dona ndio mzuri. Alafu mboga sio lazima iungwe kwa mafuta.
Nipo Igunga nakula kuku chukuchuku na...
Mimi nimezunguka sana kanda ya ziwa na Pwani, ila kanda ya ziwa watu wana roho nzuri sana hasa Wasukuma.... Msukuma unaweza kumkuta ni maskini wa mali ila tajiri wa roho. Msukuma uwa akunji roho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.