Jua mafanikio na vyanzo vyake

Jua mafanikio na vyanzo vyake

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
4,731
Reaction score
7,315
  1. Wako watakaofanikiwa kwa kufanya kazi kwa bidii
  2. Wako watakaofanikiwa kwa sababu wanajua kuna wengine wanajua mambo mengi ila hawajafanikiwa
  3. Wako watakaofanikiwa kwa sababu ya connection, wengine wana connection ila hawafanikiwa
  4. Wako watakaofanikiwa kwa sababu ya ujanja na udanganyifu
  5. Wako watakaofanikiwa kwa sababu ya kufurahisha watu fulani wenye uwezo na mamlaka
  6. Wako watakaofanikiwa kwa ubaya (wizi, utapeli, kuumiza wengine n.k), wengine watatumia ubaya hawafanikiwa
  7. Wako watakaofanikiwa kwa uaminifu na wengine watakuwa waaminifu na hawatafanikiwa
  8. Wengine watafanikiwa kupitia wake au waume zao
  9. Wengine wamefanikiwa kupitia majina ya watu wengine
  10. Wengine wamefanikiwa kwa kucopy kazi za watu wengine yaani wao ni mabingwa wa kuiga na wamefanikiwa
Mtihani ni kujua ni njia ipi ya mafanikio unayotakiwa kupitia
 
Back
Top Bottom