Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Domain ni nini? Domain ni jina la kipekee linalotambulisha tovuti yako kwenye mtandao. Kwa mfano, katika anwani ya tovuti www.google.com, sehemu ya google.com ndiyo domain. Badala ya kukumbuka...
0 Reactions
2 Replies
556 Views
Uwezi kulalamika pesa fulani au nchi imekuwa kikwakozo na biashara.Sasa Kuna watu ukiweka mada naomba washindane bei ya nyama ya ng’ombe kujibu mada tu. Maana inaweza kuwa betting
1 Reactions
6 Replies
312 Views
https://vm.tiktok.com/ZMAFMLYqh/
1 Reactions
5 Replies
469 Views
GT Tunaishi hapa duniani ila.kuna baadhi ya maeneo ni hapa hapa duniani ila watu huwa katika ulimwengu tofauti kabisa hasa wagonjwa hospital na majumbani. Ukifika hospital kuona wenzako...
8 Reactions
14 Replies
590 Views
Nchi inakosa nguvu kazi kwa baadhi ya mambo hadi kupelekea kutayarishia wahamiaji mazingira
2 Reactions
9 Replies
682 Views
Mimi ni MKKKT wa kuzaliwa wazazi wangu wote ni wa KKKT ,nimekuwa mwanachama na kiongozi wa UKWATA nikiwa shule ya msingi sekondari ,advanced sec school na chuo ,hata sasa pia ni kiongozi wa...
1 Reactions
13 Replies
522 Views
Katika historia yote ya mwanadamu, swali kuu limekuwa Kwa nini tupo hapa Ulimwenguni? Je, kuna maana yoyote ya maisha haya, au ni mwendelezo tu wa mzunguko wa kuzaliwa na kufa? Kwa macho ya...
1 Reactions
8 Replies
821 Views
###Lengo la uzi halina kusudi la kuisema vibaya taasisi ya UDSM bali unaelezea LIFE EXPERIENCE### Corona hiyo inaanza mwaka 2019 mwishoni inaenda weweee zinafanyika jitihada nyingi za kutengeneza...
5 Reactions
37 Replies
1K Views
Habari za Jumapili! Huko mitandaoni wakati napitapita nikakutana na Clip inayomuonesha De. Chris mauki akiongea. Dr. Mauki anasema anaamka Alfajiri saa 10 kwenda kufanya mazoezi pale Udsm. Akiwa...
8 Reactions
65 Replies
2K Views
Tumetoka arusha asubuhi tumeenda Rombo kumzika jamaa yetu aliyekufa kwa ajali ya pikipiki Wakati tunarudi usiku saa mbili nakutana na ajali ya pikipiki kijana kapata ajali kafa hapo hapo kichwa...
15 Reactions
60 Replies
3K Views
Mtu unamwambia sipendi kupigiwa simu napendelea sms tu mtu bado anasumbua anataka muongee (voice call) mpaka nimemuliza hivi kuna njia moja tu ya mawasiliano ? Yaani watu hamuwezi kungumza bila...
3 Reactions
9 Replies
548 Views
Leo waafrika dini zimewapumbaza mfano mtu unajua siasa unajibiwa na mtengeneza muvi.Hapa ndio utambue kuwa hata mnara wa babeli uliangushwa na wachambuzi ambao akili zao zilikuwa ndogo kwenye...
1 Reactions
3 Replies
392 Views
Zipo changamoto nyingi katika elimu yetu ya shule za msingi za serikali ambapo watoto wengi wa maskini na kipato cha chini ndo wanaposoma zinachangamoto ya uhaba wa ualimu, wanafunzi kukaa chini...
3 Reactions
109 Replies
4K Views
Nimevutiwa na huu ubunifu na kipaji.. Pengine mitaala yetu ijayo itaangazia zaidi kwenye kutoa elimu isiyo tegemezi kwenye kuajiriwa tuu bali kwenye ubunifu, kuvumbua vipaji, kukuza vipaji...
24 Reactions
2K Replies
21K Views
Nimekaa nikifikiri Kwa muda sasa ni jinsi Gani mfanyabiashara mwenye mtaji wa 10 ml, alipaye Kodi ya pango ml 2, afanyaye biashara ya stationery, household goods, saluni nk nk awezaje kulipa Kodi...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Siku za hivi karibuni amemfungulia mke wake ambaye ameonekana ku- trend na shuhuda tata,kama vile kujaza mtungi wa gas kwa kupulizia na mdomo,kuwachukia wanaume wanaolala kwamba bora wakazini na...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Baada ya miaka mingi kupitia hatimaye Google wamefanya Mabadiliko kwenye app ya phone call kwa Watumiaji wa simu za Android. Lakini pia kwa Watumiaji wa iphone walifanyiwa Mabadiliko kupitia ios...
0 Reactions
0 Replies
408 Views
1 Reactions
1 Replies
177 Views
Habari za wakati huu wanajukwaa? Naomba kupata mawasiliano ya Mtanzania anayeishi nchini Namibia,Kuna jambo la muhimu naomba kumshirikisha ili niweze kupata ushauri stahiki. Kama yupo yeyote...
4 Reactions
7 Replies
608 Views
Back
Top Bottom