Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kutokana mchango wake katika Sanaa ya Muziki, ni maoni yangu serika ijenge Musical Museum ambayo itaonesha vifaaa na picha za wasanii wa wamuziki wa Dansi. Na mtangazaji nguli...
0 Reactions
2 Replies
367 Views
"Hakuna mtu atakayekufa kwa dhambi za mwingine." Ezekieli 18:20, Yeremia 31:30, Kumbukumbu la Torati 24:16 Yesu "Mtakufa katika dhambi zenu" Yohana 8:21 Na hakuna mahali popote katika Biblia...
3 Reactions
45 Replies
2K Views
Naomba kujua utaratibu mpya wa kupata Visa UK kama standard visitor
3 Reactions
1 Replies
316 Views
Naomba msaada wa kitaalam hii alama ya mshale kama diversion flan Inanitia wasiwasi
4 Reactions
32 Replies
2K Views
When in love with beautiful things you just can't resist posting them😍😍😍 for others to enjoy❤❤❤
0 Reactions
24 Replies
697 Views
Ukiona watoto wa ndugu zako hawakuheshimu basi ujue hao ndugu zako wanakusemaga vibaya watoto wao wakiwa wanasikia 😥 Jitahidi ujiepushe nao
8 Reactions
19 Replies
740 Views
Ibrahimu hajawahi fika Makka Alkaaba ndio nyumba ya Allah yaani ndio msikiti wenyewe; na ndio kiini cha ibada ya Waislamu ulimwenguni mwote. Nyumba hii ikidaiwa ilijengwa na Ibrahimu. Muislamu...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Kuanzia tarehe 1 Agosti 2025 DStv watakuwa na bei mpya kwa vifurushi na mkeka upo kama ifuatvyo; DStv Poa - 11,500/= DStv Bomba - 27,500/= DStv Family - 40,000/= DStv Compact - 68,000/= DStv...
5 Reactions
58 Replies
4K Views
Habari za jioni, Jana nimetembelea Azam Mgodi. Nikaona nijisajili na Azam Max ili angalau habari muhimu zisinipite kwenye kipindi hiki Cha uchaguzi, niwe naperuzi na kufatilia taarifa nikiwa...
3 Reactions
10 Replies
674 Views
Wakuu hii Makato NMB mkononi to Lipa namba ya Voda yameanzia kwangu tu au ni kwa kila mtu.Juzi nimefanya muamala wa wa laki na 50 wamenikata almost 5,000 wakati kabla ya hapo nikilipa NMB kwenda...
2 Reactions
6 Replies
763 Views
Hapa JF kuna mashambulizi ambayo wana propaganda wapo ambao wanalipwa pesa kueneza ajenda zao. Kiufupi sasa hata mnacholeta hapa JF kunawapa kazi ngumu CCM. Mlipo sasa mtatema bungo
3 Reactions
9 Replies
412 Views
Mfano hakuna ratiba ya chakula, chakula kimeiva unashangaa TU WATU wanaleteana vyakula wewe usiye na MTU MPAKA ufatilie chakula jikoni. Kikawaida sherehe zilizostaarabika chakula kikisha iva na...
0 Reactions
3 Replies
224 Views
Huo ndiyo uhalisia hakuna haja ya wasomi kuomba kura kwa wasiowasomi wakajichague wasomi wenyewe basi!!
0 Reactions
0 Replies
222 Views
Familia ya Bw. Jackson Paul Kehengu imetoa msaada wa vitimwendo (wheelchairs) 10 kwa ajili ya kusaidia wagonjwa wanaopatiwa matibabu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI)...
3 Reactions
5 Replies
373 Views
Huu ni ukweli sio ubuyu inaonekana waganga wake masharti yao asitoke nje ya Tanzania,
0 Reactions
1 Replies
518 Views
Mwanafunzi wa sheria, Onesmo Mathew, amezindua kitabu chake kipya kiitwacho Watanzania na Sheria, ambacho kinalenga kuwasaidia wananchi wanapokumbana na changamoto za kisheria. “Kitabu hiki...
2 Reactions
2 Replies
321 Views
Leo dunia ipo kwenye mfumo wa kidigitali kuanzia mitandao ya kijamii, benki, barua pepe, hadi mifumo ya kazi. Lakini pia uhalifu mtandaoni umeongezeka. Njia rahisi ya kujilinda ni kwa kuwezesha...
0 Reactions
3 Replies
447 Views
JE, WAISLAMU WAMPIGIA KAMPENI SAMIA? Andiko hili la Emaus Mwamakula ni la hovyo kabisa!!!!!! Why amegenerilize? Viongozi wa wote wa Dini ya Kiislamu kutoka nchi nzima [Tanzania Bara?]...
0 Reactions
16 Replies
955 Views
Tabia ya Watanzania kushadadia mambo bila ushahidi wa kuthibitisha wanacholishwa itawaponza kila leo. Polepole kasema hayo yote je kayathibitisha kwa ushahidi upi ambao utaweza kuwa utetezi kwa...
1 Reactions
18 Replies
605 Views
Back
Top Bottom