Je tangu mmekuwa na bunge la wasomi limewasaidia nini ktk maendeleo yenu kwa mmojammoja au kwa ujumla?
Tatizo la waTanzania ni majungu na uropokaji pasipo kuwa na tija mtu amekaa tu mtaani chini...
Wakija huku mikoani tunawashobokea sana. Tunawatafuta walipofikia, tunawapeleka hapa na pale, tunawapa zawadi. Tukipata mtu anaenda huko tunawatumia zawadi. Singida tunatuma mafuta ya alizeti...
Nilimsikiliza vizuri Polepole aliposema mifumo ya CHAMA inasomana na Taarifa za NIDA na Tume ya UCHAGUZI
Baadae Tumesikia majibu ya kukanushwa Taarifa hiyo kutoka INEC na NIDA!
WAMEKANUSHA...
Umeshawahi kutumia chatGpt??
🗯️ Kuna mambo mengi unaweza kumuuliza akili mnemba ya Chati ikaweza kukusaidia kukupa majibu mbalimbali ya maswali uliyomuuliza pia ni mcheshi sana 😁.
🗯️...
Jama kwani hapa Tanzania hakuna wanaharakati wanaojihusisha na haki za wanyama?
Maana hapa Katoro Geita Punda wanateswa sana yani wanabeba tofali asubuh hadi saa 9pm. Njia zenyewe makorongo tupu...
Airtel kama mpo humu JF mjitafakari sana kuhusu hili.
Mna uthibitisho gani kama mimi mmiliki wa simcard ndio nimeomba Kubadili neno la siri na sio mtu mwingine?
Nimefuata muongozo kwa kupiga...
Nahisi watanzania tuna katabia ka kusahau ila internet itawakumbusha.
Huyu mpuuzi ndio CCm inaweza kumpa hata msemaji wa nchi kuijibu USA.
Kama mnakumbuka mafuvu alikuwa anatolewa povu na masha...
Kuna sehemu hata uwe na pesa kiasi gani hauwezi kuzifikia au kuingia nchi za aazungu.
Pia kuna vifaa hata uwe na pesa kiasi gani hauwezi uziwa hii ni kwa nchi za wazungu tu.
Haya njoo hapa...
Hii imekaaje sijawahi kuona philosopher wa kike Ina maana wenzetu wanawake hawana mchango wowote duniani ukiachana na mambo madogo Kama kubeba mimba , kuzaa na kulea.??
Ni swali linalo ulizwa na watu wengi wengi, je polepole anatumiwa na nani kuichafua Serikali ya dkt Samia pamoja na viongozi wakuu wastaafu?
Je polepole anatumiwa na kanisa au ni yeye mwenyewe...
Kabla ya kusema umependa ifahamu hii, Mwanamke mmoja huko Arizona alikamatwa na kufunguliwa mashtaka ya ufuatiliaji wa mtu (stalking) baada ya kudaiwa kutuma zaidi ya ujumbe 159,000 kwa mwanaume...
VILE UNAVYOJI- POSITION NDIYO UTAKAVYOKUWA NA WATU WATAKAVYO KUCHUKULIA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nimekuandikia haya ili uweze kuwa bora sio kama motivesheni- Spika bali uhalisia...
Hello!
Wanaume wanapopandana au wanawake wanapopandana wao kwa wao automatically ni kama wanajiengua kwenye idadi ya watu duniani.
Kama kwenye familia au ukoo mko 50 na 5 wamekuwa mashoga na...
Mwaka 1998 kaka aligoma kabisa kusomea ualimu japo mzee alikuwa alikuwa mwalimu bado hajastaafu.
Ukawa mvutano mkubwa mno basi bro akaona aoe Mzee hakutoa mahali na akamtimua yule binti kabisa...
Ciao..
Kuna ile dhana ya jamii kuchukulia kitu fulani kama hakifai ila kwako unaona kawaida. Kwako ni kipi cha ajabu kati ya hivi?
1.binafsi naona kawaida
2. Hii kwangu ni ajabu hasa kwa...
Habari wana JF.
Umasiki ni chanzo Cha Mabaya kero, Uchawi, ulozi, kunuka jasho, wivu, ukatili n.k.
Masikini ndiyo mtu wa kwanza kuingia Motoni hata kama ulikuwa unasali sana kama umekufa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.