Wakuu habari
Nimeona kua Tume ya taifa ya uchaguzi itagawa magari kwa vyama vyote vinashindana katika nafasi ya urais ,kila chama itapata Land cruiser V8 GX mpya.
Swali naomba kujuzwa hii system...
Kuna habari kwamba Mwandishi wa Habari, wa Alasiri mwanamke alitekwa na kutelekezwa Mbagala leo mchana muda huu ametoka polisi Oysterbay..... Habari zaidi baadaye
Hawa watu tunawachungulia wa kawaida sana lakini ni watu muhimu katika mifumo yetu iwe taasisi mbalimbali na wanajua taarifa zetu wakiamua kutoa siri zetu hawashindwi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣wanajua hadi kwenye...
Mwandishi wa @MwananchiNews apotea. Siku 10 hajulikani alipo. Alikuwa anafanya uchunguzi wa Habari nyeti. Nataraji kesho tutajua zaidi - ZZK.
KUHUSU AZORY GWANDA
Azory Gwanda alizaliwa 1975 na...
Matumizi ya Tindikali kwa lengo la kuua na/ama kuharibu sura (disfiguration) ya mtu flani kwa maslahi ya mtu binafsi na/ama ya kikundi flani, tunaweza kusema yaliasisiwa na kuanza kugonga vichwa...
Yule mtu nilitaka kumjibu lakini naona posting yake chafu imeondolewa.
Yule mtu alikuwa anasema amefanya ngono ya jinsia moja.
Yule mtu atakwenda motoni kufuatana na kosa alilofanya.
Sasa tuone...
Naandika kuwataka viongozi wa CCM moshi mjini mwenyekiti wangu wa wilaya mzee Faraj Swai,chukueni hatua kwa makada hawa wawili Juma Raibu na Gadafi kuchapana makonde ndani ya ofisi ya chama...
Ripoti ya Takwimu za Mawasiliano iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa robo ya mwaka 2024, imeonesha katika kipindi cha Januari hadi Machi 2024 kulikuwa na ongezeko la Usajiili...
Isa 47:10 SUV
[10] Maana umeutumainia ubaya wako; umesema, Hapana anionaye; hekima yako, na maarifa yako yamekupotosha, nawe umesema moyoni mwako, Mimi ndiye, wala hapana mwingine zaidi yangu...
Katika mazungumzo kati ya mwanakijiji na mkazi wa Mambisi na mtangazaji wa HakiTV, imegundulika kuwa kumekuwa na utupwaji wa maiti nyingi katika msitu wa hapo kijijini kwao, akisisitiza kuwa...
Kila hela itayopatikana tufanyie mambo ya msingi. Tuache matumizi ya hovyo.Mi nilishachukua shamba kwetu Iringa na mwaka juzi muheshimiwa alinisaidia kupata diploma ya pharmacy.
Ni ushauri wa...
Kanisa katoliki kila siku ku a sala ya kuwaombea viongozi na kwa namna ya pekee Mhe. Raisi
Kanisa Katoliki bado linashirikiana na selikari katika mambo mengi ikiwemo ustawi wa amani kwa...
Jana usiku nilikuwa nafanya marudio ya kusoma sehemu muhimu katika KITABU Cha "THINK AND GROW RICH", kilichoandikwa na Napoleon Hill Karne nyingi zilizopita, Sina kumbukumbu kwamba ni Mara ngapi...
Itakapo fika siku ya tarehe 02 Agosti 2025 kutatokea tukio la kupatwa kwa jua, ni tukio ambalo linatokea kwa nadra sana itaweza kuvutia watu wengi.
Ni tukio ambalo Dunia nzima itaweza kushuhudia...
Kupitia kurasa rasmi za mitandao ya kijamii za Chama cha ACT Wazalendo wametoa taarifa kwa umma ikieleza kuwa mgombea wao katika nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amezuiwa...
Wakili Meshack Ngamando, anayewatetea warufani wanne waliohukumiwa kifungo cha maisha jela, amefafanua kuwa rufaa yao inayoendelea katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma haitajumuisha ushahidi mpya...
Clouds Media wameharibu siku yangu mapema sana leo majira ya saa 0600Hrs nikiwa nimelala nawaza nikapige mishe wapi za kuniingizia chochote maana kwa leo nimeamka sina ramani yoyote, sasa nikiwa...
Kwanini Wakristo hawavai kanzu nyeupe saa ya kusali kama Yesu alivyofanya?
Yesu aliishi katika jamii ya Wayahudi iliyokuwa na mila na desturi za mavazi. Katika mazingira hayo, kuvaa mavazi meupe...
Mawakili wa serikali na wale wa upande wa utetezi wakijiandaa kwa ajili ya kusikiliza kesi ya rufaa ya Nyundo na wenzake ambao wanapinga adhabu ya kifungo cha maisha gerezani walichohukumiwa...
"Kwa hiyo wakaondoa lile jiwe. Naye Yesu akaelekeza macho yake juu na kusema, “Baba, nakushukuru kwa kuwa umenisikia. Nalijua ya kuwa wewe hunisikia siku zote; lakini kwa ajili ya huu umati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.