Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Salma Kikwete amewapongeza wenza wa viongozi kwa kuwapa faraja viongozi pindi wanapokabiliana na mambo magumu. “Uongozi ni wote Mh. Mwigulu au Rais Samia Suluhu Hassan...
3 Reactions
72 Replies
3K Views
Serikali hii inayotuhumiwa kwa rushwa nilitegemea madawa ya kulevya yazidi na ujangili wa Meno ya tembo uendelee ila NI wazi mambo hayo yamepungua kwa Kasi Sana kama sio kuisha kabisa hasa...
4 Reactions
8 Replies
729 Views
Katika nchi kama Tanzania, harusi au tafrija kubwa haziwezi kufanyika bila kuchangiwa na marafiki, ndugu na jamii kwa ujumla. Ingawa utamaduni huu una asili ya mshikamano na upendo wa kijamii...
8 Reactions
22 Replies
1K Views
Ikimbie dhambi. Shalom. Karibu tujifunze biblia, na kujikumbusha yale ambayo tumeshajifunza. Kitu pekee ambacho watu wa Mungu tunapaswa tukiogope kuliko vyote kwa nyakati zetu hizi sasa ni...
1 Reactions
1 Replies
283 Views
Hakuna Dhambi – Ni Akili Yako Tu Inakudanganya? Je, dhambi ni kweli ipo, au ni mawazo tu yanayopita akilini? Mara nyingi tunajiadhibu kwa fikra tulizonazo hata kabla ya kutenda chochote...
1 Reactions
3 Replies
278 Views
India imepiga marufuku kampuni zote za michezo ya kubahatisha mtandaoni zinazohusisha pesa halisi, kuanzia tarehe 21 Agosti 2025 baada ya kupitishwa kwa Sheria ya Kukuza na Kudhibiti Michezo ya...
3 Reactions
8 Replies
815 Views
Kwa tuliobahatika huwa kuna muda unakaa, unakumbuka nyumba yenu/ kijiji chenu utotoni wakati unakua, watoto wenzio uliokua ukicheza nao na maisha ya ujumla ya utotoni. Kwa bahati mbaya kwa sasa...
4 Reactions
22 Replies
856 Views
Radi inaweza kupiga hata kama hakuna mvua inayoonekana mahali ulipo, na hali hii huitwa "dry lightning" (radi kavu). Hii hutokea kwa sababu: 1. Radi hutokea mbali na mvua: Radi inaweza kusafiri...
2 Reactions
5 Replies
498 Views
Katiba ni nyaraka kuu ya taifa lolote. Ni dira, mwongozo na msingi wa maisha ya wananchi wake. Inabeba kanuni, sheria, haki na wajibu wa kila raia pamoja na viongozi wanaoongoza. Kwa maana hiyo...
1 Reactions
0 Replies
398 Views
Kuna watu wanne Mtu wa kwanza Mtu mzima miaka 28 Mtu wa pili miaka 11. Mtu wa Tatu miaka 6 Mtu wa Nne miaka 4 Kwa hawa watu, ni kiasi gani cha chakula (Mchele na unga) utawatosha kwa mwezi...
4 Reactions
13 Replies
677 Views
Uzi huu sio tuhuma au tetesi, ni uhalisia wenye shahidi / evidence za kutosha Kwa lugha nyepesi, Ni kwanini nchi ikijaa wakristo huwa kuna uhuru wa kiimani kwa waislam lakini ikiwa kinyume...
44 Reactions
557 Replies
23K Views
Ndoto za waliokuwa wabunge wa viti maalum mkoa wa Arusha kurejea bungeni huenda zikakwama baada ya kushindwa kuwashawishi wajumbe wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Arusha...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Naona kama viongozi wanajisogeza sana kwenye makanisa ya kitume baada ya haya tunayoyajua siku zote kuwa na msimamo Fulani ambao hauipendezi sana watawala. Nilikua naulizia tu hivi haya makanisa...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
JEE KUNA UMEME?
6 Reactions
41 Replies
1K Views
Salma Mkalibala 08.08.20258 Agosti 2025 Serikali ya Tanzania kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli, TPDC imeanza mchakato wa uchimbaji wa visima vipya vya gesi asilia katika Kitalu cha Mnazi...
1 Reactions
5 Replies
471 Views
Jua linawaka miezi mingi zaidi kuliko mvua, science inalielezaje hili?
1 Reactions
16 Replies
802 Views
Gari za Masoud Kipanya zimeishia wapi? Mbona hatuzioni barabarani? Je bado hajakidhi vigezo au kuna ya mvunguni tusiyoyajua? Miaka kadhaa iliyopita Masoud Kipanya alizindua gari na habari...
11 Reactions
57 Replies
3K Views
Imeelezwa kuwa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imejipiga kuwa na Chuo kila Wilaya nchini ili kusogeza karibu fursa ya wananchi kupata ujuzi ambao utaweza kuwawezesha kujiinua...
0 Reactions
0 Replies
198 Views
Nimeuliza swali hili tu " Mtu gani anayechukiwa zaidi Tanzania!? na wewe unaweza uliza na majibu niloyapata ni haya: Katika historia ya Tanzania, baadhi ya viongozi wamekuwa wakikumbwa na...
4 Reactions
14 Replies
821 Views
Jana saa 2 kivukoni umetokea ugomvi wa kupigana yaani dereva kakunjwa shati , mmama alipanda na mtoto gari likajaa full wakamshauri dereva apitilize ferry hali ni mbaya dereva akasimama posta ya...
43 Reactions
121 Replies
5K Views
Back
Top Bottom