KITABU "Think and grow Rich"

Witmak255

JF-Expert Member
Feb 5, 2019
3,264
5,403
Jana usiku nilikuwa nafanya marudio ya kusoma sehemu muhimu katika KITABU Cha "THINK AND GROW RICH", kilichoandikwa na Napoleon Hill Karne nyingi zilizopita, Sina kumbukumbu kwamba ni Mara ngapi nimekisoma hiki kitabu, ninachoweza kusema ni Mara nyingi mno nimekisoma tangu nikiwa O'level kilikuwa hakikosi kwenye meza ya mzee na mm nikawa nakisoma Kama kujifurahisha mpaka pale nilipoanza kupevuka nikawa bado nakisoma,Kwangu hiki ni kitabu Bora kabisa Cha nyakati zote Kati ya vitabu vya uhamasishaji zaidi ya 20 nilivyovisoma mpaka sasa.

Leo nashare na wewe kwa ufupi kabisa maandishi yanayopatikana katika kitabu hiki na uyatafakari kwa kina katika Safari yako ya mafanikio, Napoleon Hill kwa kalamu yake katika kitabu hiki anasema.

"When you begin to think and grow rich, you will observe that riches begin with a state of mind, with definiteness of purpose, with little or no hard work. You, and every other person, ought to be interested in knowing how to acquire that state of mind which will attract riches… Observe very closely, as soon as you master the principles of this philosophy, and begin to follow the instructions for applying those principles, your financial status will begin to improve, and everything you touch will begin to transmute itself into an asset for your benefit. Impossible? Not at all!”

Niwatakie siku njema,vijana wote wapambanaji
 
hivyo vitabu haviapply afrika vimetengenezwa kwa ajil ya kutumika ulaya kwa wazungu
Mkuu siwezi kukataa Wala kukubali, Ila ninachotaka kusema ukisoma vitabu unaweza kushape hata Aina ya ufikiri wako sio lazma uwe tajiri Kama mo but at least unakuwa na mawazo chanya yenye hamasa zaidi
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom