Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Taharuki imezuka maeneo ya Jangwani, Dar es Salaam baada ya mwili wa Mtu kupatikana ukiwa umefungwa kwenye kiroba ukiwa unaelea katika mtaro. =============== Mwili wa mtu mmoja umeonekana asubuhi...
9 Reactions
79 Replies
5K Views
Nashville, Marekani, 28 Agosti 2025 Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa 39 wa...
0 Reactions
0 Replies
200 Views
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imempongeza Mwalimu Jao Kalesi wa Shule ya Msingi Kazita, wilayani Muheza mkoani Tanga, kwa ubunifu wa kutumia muziki kufundishia wanafunzi darasani...
9 Reactions
22 Replies
2K Views
Menejimenti ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imepatiwa mafunzo ya utekelezaji bora wa bajeti ya maendeleo ya Taasisi hiyo ya mwaka wa fedha 2025/26 ili kuendelea kuboresha...
0 Reactions
1 Replies
243 Views
👇🏻👇🏻 Tofauti na hapo ataendelea kuwa🚮🚮 na itikadi yake uchwara
5 Reactions
19 Replies
939 Views
Nahitaji nifungue kanisa sina ajira nimetoka chuo Procedure zake miujiza ya uwongo ninayo
4 Reactions
21 Replies
961 Views
Anonymous
Nawakilisha kwa Uchungu Mkubwa sana ukiwa ndani ya moyo wangu kutokana na Dhulma tunayofanyiwa na Katibu wa CCM Mufindi bwana Clement Bakuli. Soko la Sabasaba lilizuka baada ya sisi wahanga...
0 Reactions
1 Replies
249 Views
Mara nyingi usiku nikilala huwa sipati kabisa ndoto au nikiota asubuhi nakua nimesahau nilichoota. Ila jana usiku nimeota ndoto ambayo imenitisha na naikumbuka kwa sehemu kubwa, siku nzima...
6 Reactions
92 Replies
3K Views
Copy hii code kisha ishi nayo.
26 Reactions
101 Replies
4K Views
Kumekuwa na mwelekeo usio na afya katika mfumo wetu wa elimu, hususan baada ya mitihani ya darasa la saba. Punde tu mitihani inapomalizika, matangazo ya tuition za Pre Form 1 huibuka kwa kasi...
4 Reactions
46 Replies
1K Views
Leo ile naingia JamiiFourms nakuta akaunti yangu haipo.Hivyo nilitakiwa ni login tena. Aisee nilipuuza muda mrefu kuhifadhi kumbukumbu ya details za ku login. Hivyo Leo sikujua nifanye nini...
6 Reactions
64 Replies
1K Views
Zaidi ya wananchi 30 wa Mtaa wa Majengo, Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida, waliotoa maeneo yao ya mashamba kwa ajili ya kupisha ujenzi wa Trena ya kisasa SGR, wamelalamikia...
1 Reactions
3 Replies
255 Views
Kabla hujapata hiyo ajira au hiyo biashara ndogo uliyojiajiri kumbuka maisha ya wanafamilia wako yalikuwa yanaendelea. Kama ndo umeanza kutengeneza kipato chako kidogo hakikisha unawekeza zaidi...
4 Reactions
16 Replies
641 Views
Kamanda wa Polisi Mkoa, Augustino Senga amesema Watu 5 wamefariki Dunia na wengine wanne kujeruhiwa baada ya basi dogo la abiria aina ya Hiace yenye Namba za usajili T476 DHL lililokuwa likitokea...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu hii kitaalamu imekaaje? Mchungaji mmoja alimchumbia mjane kwenye mazishi ya mume wake, naye akakubali. Tukio hili lililotokea katika mazishi nchini Afrika Kusini, limezua mijadala na...
1 Reactions
17 Replies
879 Views
Imekuwa ni kawaida sana hapa Tanania kuaibisha au kutania watu kwa nia ya dhati ya kuwaaibisha kwa maumbile yao ya miili Mtu awe na pua kubwa ataitwa mapua, atataniwa pua yake kama nguruwe, Mtu...
3 Reactions
12 Replies
511 Views
1. Great thinkers wana free mind 2. ⁠GT hawaogopi new idea 3. ⁠GT have mental and emotional bulletproof because they don’t take things personally 4. ⁠GT are contextual based analyst 5. GT seeks to...
4 Reactions
23 Replies
912 Views
mambo vipi? Jumamosi majuzi nikiwa mkoa fulani kwa shughuli za michezo nikajikuta nimedondosha simu yangu kwenye kuifuatilia ikashindikana kuonekana ila kwa kuwa nilikuwa nimeinstall app ya...
11 Reactions
75 Replies
3K Views
Uhuu ni utafiti wa sifi Leo msomaji una haki ya kuupinga ila upinge Kwa hoja. Wasomi wengi waliopo serikalini waliingia serikali paspo kuwa na sifa kama walizo nazo Leo Wengi wao...
10 Reactions
36 Replies
5K Views
NB; Picha hizo mbili ni za wazazi wangu, Baba na Mama za nyuma kidogo. Mimi Deo Kisandu, Nimekumbana na Maswali mengi juu ya kabila langu wengine wanasema Mimi Msambaa kwa kuwa niligombea ubunge...
21 Reactions
137 Replies
18K Views
Back
Top Bottom