Wakuu,
Hii kesi naona mauzauza, inaenda kama haiendi inakuja kama haiji. Yaani wanafanya kusudi kabisa ili iishie juu kwa juu. Ngoja tuone nini kitajiri hiyo kesho wakati CHADEMA wakiuamua mbivu...
Salaam, Shalom!
Wakati umma wa watz ukilaumu watu waliokuwa wakiangalia tukio lile la ndugu bonge akijaribu kutekwa na wasiojulikana,wenye pingu na silaha za moto.
Kwa jicho la Umakini, yupo...
Kwa mujibu wa familia, Ulomi aliondoka nyumbani tar.11 December 2024 akidai kupigiwa simu na watu wa TRA kwenda kufuatilia kontena lake bandarini.
Kwa mujibu wa Muliro siku hiyohiyo tar.11 Ulomi...
Salaam Wakuu,
Sakata la Ulomi linazidi kuleta taswira mpya kila siku, leo Kituo cha Afya Makuburi wanasema Ulomi aliletwa kituoni kwao na Askari, tushie lipi?
Someni wenyewe hapa chini sakata...
Hili nina uhakika nalo kuwa Daisle Ulomi alikuwa askari wa Jeshi la Polisi Tanzania ila sina uhakika kama aliachana na hiyo kazi(Hapa ndipo swali lilipo kuhusu kifo chake, Ulomi kauawa) maana ni...
Daisle Simon Ulomi Kwa Sasa ni marehemu baada ya maiti yake kukutwa Jana hospitali ya rufaa Mwananyamala. Taarifa za Jeshi la Polisi na Msemaji wa hospitali hiyo zinadai alipelekwa hapo jioni ya...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limeanza kufuatilia taarifa ya kupotea kwa Daisle Simon Ulomi, mfanyabiashara ambaye hakurudi nyumbani kwake toka alipoingia kazini kwake siku ya tarehe...
Ndugu zangu, msidanganyike! Dhambi si mchezo, na kila dhambi inaleta madhara makubwa kwa mtu binafsi, kwa jamii, na kwa taifa. Wacha tuchambue kwa mwanga wa Neno la Mungu.
1. Wachawi
Biblia...
Ben Saanane alikuwa mmoja wa wanaharakati wa kisiasa wenye sauti kali ndani ya CHADEMA, hususan akifahamika kwa msimamo wake wa kukosoa serikali ya wakati huo. Kabla ya kupotea, Ben alikuwa...
Nimefanya mabadiliko haya Kama Petition inavyojieleza hapo chini kutokana na kutafuta mabadiliko ya msingi ya jina ambalo Mungu analitaka kufikia hatua za Modernist System. Wengi hawatanielewa...
Viongozi watupie jicho eneo hili la Kariakoo kuna wimbi kubwa la kundi la watu limekuwa likikamata Bodaboda wakishirikiana na baadhi ya Wanausalama na kuchua rushwa kuanzia elfu 10 mpaka 20...
Habarini za humu ndani wadau, niko hapa kuomba experiences na ideas mbalimbali tokea kwenu za namna na jinsi ya kwenda Ireland kwaajili ya kujilipua au kwa maana nyingine kutafuta maisha, nchi...
Suggestions for Media Performance Optimization on JamiiForums
Salamu Habari Wakuu,
Nilikuwa nimeona vitu kadhaa ambavyo ningependa vifanyiwe maboresho ya haraka hapa JamiiForums ili kuboresha...
Kwa upande wangu nimekabwa sana na haya majinamizi nikiwa shule x Mufindi ndanindani asee mwili mzima unakufa ganzi nguvu zinakuiisha sitasahau hio shule niliamua nibadili hostel na kusali sana...
Siku hizi naona kama pikipiki za CCM zile za samia watu waliopewa wanaanza kuogopa kutembelea hata wakipeleka kwa mafundi na mafundi nao hawa zitaki,Mtaani zikipaki zinatengwa na wanazengo.
Sasa...
Kitabu (softcopy / nakala laini) cha kiswahili cha Henoko (biblia hakipo) na Mtu tajiri zaidi babeli kinauzwa 10,000 Tsh. nicheki +255 0756704145 , kitabu natuma whatsapp au kwa email.
Kumekuwa na kauli za "Hata hao wapinzani na wao wanapigania matumbo Yao, utasikia mtu anasema hata huyo LISSU anajipambania yeye na familia yake"
Ni ukweli kwamba hata tukiwapa nchi chadema...
Wakati wananchi wa Tanzania wakilalamika kupanda kwa bei za nafaka sokoni hasa bei ya mahindi hali hiyo imekuwa gumzo zaidi nchini Malawi.
Kwa mujibu wa bei elekezi iliyotolewa na wizara ya...
Watoto wadogo pia kama ilivyo kwa watu wazima nao wanapitia vita vya kiroho kutoka kwa adui Falme za nguvu za giza na mawakala wa nguvu za giza.(shetani,wachawi,mapepo n.k)
kwa uzoefu wangu mdogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.