Nikiwa miongoni mwa waombaji tuliopata neem ya kuhudhuria kongamano la 18 la maombi ya kutafita makao makuu ya serikali Dodoma.
Miongoni mwa masomo ambayo tulipata kujifunza ni juu ya umuhimu wa...
Watanzania 173 waliokuwa wakiishi katika Jimbo la KwaZulu-Natal, Afrika Kusini, wamewasili nchini baada ya kuamua kurejea nyumbani kwa hiari, kufuatia vuguvugu la kupinga wageni linaloendelea...
Minara 758 iliyojengwa katika kipindi cha miaka miwili iliyopita imeongeza upatikanaji wa mawasiliano kwa wananchi milioni 8.5 katika vijiji 1,400, hatua iliyochangia kuongezeka kwa laini...
Mimi ni Mkazi wa Pugu,Ninapokuwa njiani kuelekea kazini/Mjini nilikuwa nikishuhudia kuvunjwa kwa sehemu ya uzio wa shule na ujenzi wa frame za maduka....
Hiyo shule ni ya elimu ya Msingi Pugu...
Bi. Khadijah binti Nyambasi kutoka mkoa wa Pwani, akielezea namna mchezo wa bao unavyotumika kufanya maridhiano toka enzi za mababu. Katika mazungumzo yake aliyoyafanya kwenye Tamasha la nne la...
Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, ameeleza sababu za yeye kuweka wazi umri wake, akibainisha kuwa kufanya hivyo kunawasaidia watu kumwelewa na...
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Ajira na Mahusiano, Dkt. Evaline Wilbard Munisi amesema uzinduzi wa Ughaibuni Loan si uzinduzi wa mkopo pekee, bali ni hatua ya kujenga imani mpya...
Habari za wakati huu wapendwa, mimi naitwa PENDO GERVAS KALILO. Nilizaliwa mwezi Septemba mwaka 1993, Kahama. Kwa sasa ninamtafuta baba yangu mzazi ambaye anaitwa GERVAS KALILO. Sijawahi kumuona...
HABARI
JTATU ILIYOPITA NLIISHIKWA NA BUTWAA KIDOGO
KUNA MDADA NAMSAIDIA KWENYE UDHAMINI
ALIOMBA KIASI CHA MILI 5 MOJA YA HIZI ASASI
NKAENDA NAE NIKAMSIMAMIA ILIPOFIKA MALIPO NKAOMBA PAYMENT...
Kwa hapa tulipofikia, akiamua aongoze mpaka achoke yeye ni kitu ambacho anaweza na chepesi sana kwake, hakuna kitu kitakachomzuia.
Kuna jamaa alitoa Uzi asubuhi anasema mtanganyika ni mpumbavu na...
In a major political evolution signaling a sweeping generational shift, Tanzaniaโs ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party has selected Deogratius John Ndejembi as its nominee for the nationโs next...
Habari ndugu zangu, naomba msaada.
Niliwasilisha ombi la mafao ya mkupuo (lump sum) NSSF tarehe 31 Julai, na namshukuru Mungu nilifanikiwa kutoa alama za vidole tarehe 10 Agosti katika ofisi ya...
Naomba kufahamishwa na anefahamu taratibu za kupata mafao ya kuachishwa kazi NSSF
Nina mwaka mmoja Nimeachishwa kazi,
Mwezi wa tano mwaka huu nilifuatilia mafao yangua nssf na baada ya mwezi...
"No Reforms No Election sio uhaini, ni kauli mbiu ya kudai mabadiliko ya sheria na katiba kabla ya kwenda kwenye uchaguzi. Tulizunguka kwenye balozi na asasi za kiraia kuelezea ujumbe wetu kuhusu...