Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation, Zuweina Farah (kulia), na Mkurugenzi wa TEHAMA wa kampuni hiyo, Athumani Mlinga (kushoto), wakimkabidhi tuzo mchezaji wa Don Bosco, Martin Benson...
Kweli tusiichezee Dunia!? John Komba wakati anaimba nyimbo za kuwatukana na kuwazodoa wapinzani hakikua nn kitaikuta familia yake,akidhani hiyo ndio Dunia atakayoishi yeye na familia yake!!! ...
Habari wa JF,
Siku nyingi sijafika humu. Leo nami ninene.
Ni kweli, nimesikiliza awamu zote mbili za mazungumzo ya Ndugu Polepole na wanahabari. Nimezitafakari sana, na haya ndiyo niliyoyaona...
Wooote wanaojihusisha na siasa au dini ni wajinga waliobaki nchini humu kwani wanachanganywa na kugeuzwa na viongozi wa siasa na dini wanavyotaka kama maroboti kila siku kuliwa tu.
Mwaka 2010, AU(African union) ilipitishiwa wazo bora sana kuanzisha miundo minu kwa ajili ya internet ya kiafrika, wazo hili lililenga afrika kujitoa kwenye makucha ya internet ya kikoloni, kwa...
Nikifanya kitu kilicho ktk akili ya wengi watu watanipenda watanipa likes,
Hii inanifanya niwe sawa na wengi, nikiwa sawa na wengi maana yake akili yangu na yao zinafanana,
Kama akili yangu na...
Akili mnemba (AI) siyo kitu kigeni saana!
Afrika kwa asili tumezaliwa nanuwezo mkubwa wa kuunda akili mnemba sema basi tu hajui kuendeleza au kuweka vitu vyetu katika mfumo.
Maana rasmi ya...
Wakuu habari za muda huu?
Mada yangu inajikita kwenye Hali ya hewa ya mkoa wa Mbeya hasa Rungwe na Mbeya mjini.
Mkoa wa Mbeya kiufupi hauna kipindi Cha kilele Cha kumuacha mtu awe huru badala...
Ni uvivu tu wa kufikiri na kutambua kuwa KUAMINI kitu ni mashaka badala yake ni KUJUA ni kujua kitu.
Waafrika wengi wamepotoshwa kuwa kuna kumwamini yesu na muhamadi ambao ni njia ya kwenda kwa...
Wakuu hii imekaaje?
Unakuta mtu anaonea wanyonge labda Kwa kuwadhulumu mashamba,nyumba anaiba,anauza ung (drugs),bange, na biashara pamoja na dili zote haramu halafu anadunda tu mtaani miaka na...
Tunajuaje kuwa hilo si kweli?
Kwanza, injili tatu za Sinoptiki (Mathayo, Marko na Luka) hazimtaji mwanafunzi huyu hata mara moja. Luka na Marko hawakuwa wanafunzi wa Yesu, lakini Mathayo alikuwa...
Tuendelee kuchapa kazi kulijenga Taifa.....
MImi naona Kuna shida kwenye system ya vyeti vya kuzaliwa na Nida mfano taarifa zote zinazopatikana kwenye NIDA Zipo kwenye vyeti tena nida iko na...
Sio kwa kujisifia lakini kama unamiliki chombo cha moto na unaweza kumfundisha mtoto, sioni kama kuna cha kukuzuia.
Elimu sio darasani tu, kumfundisha mtoto kitu chohote kinachoweza kuwa na faida...
Salaam, Shalom!
Kuna msemo wa wasiojielewa usemao ati "Hakuna aijuaye kesho yake" huo ni uongo,
Kesho ya watu inafahamika na ni uamuzi wa mtu mwenyewe kuamua kesho yake iweje, sasa hapa duniani...
Hivi Hawa wanaosombwa namna hii kupelekwa kwenye mikutano ya CCM , akili zao Huwa zinafanya kazi kama akili za sisi binadamu wa kawaida kweli??
Hii nchi bado wajinga na mbumbumbu ni wengi...
Asikuambie mtu Ruangwa kuna joto. Nimefuatilia hali ya hewa maeneo mengi yenye joto Tanzania hii yani Tanga, Dar, Lindi mjini, Mtwara, Dodoma, Singida, Zanzibar, Tabora kwa wiki hii sijaona sehemu...
Tangu niingie kwenye hii fani nashangaa tu Kila ninapopanda daraja CWT hata simjui
Hata juzi mama alivyoniwekea kiasi nilifurahi ila namkuta huyu CWT akikamua tena
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.