Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Naomba kufahamu jinsi mtu aliyemaliza Chuo anavyoweza kujiunga au kusajiliwa na Bodi ya wakandarasi hapa Tanzania (ERB)
Umechanganya sana habari. ERB ni Bodi ya Usajili wa Wahandisi(Binadamu,Watu ambao ni Professionals)!Naomba kufahamu jinsi mtu aliyemaliza Chuo anavyoweza kujiunga au kusajiliwa na Bodi ya wakandarasi hapa Tanzania (ERB)
Oky sipo vzuri sana nlimaanisha Contractors, naomba kufahamu Usajili wa Engineers pale ERB mkuuHapo umechanganya madawa kidogo, ERB ni bodi ya Wahandisi.
Asante mkuu nmekuelewa sana ntafanya hvyo.Umechanganya sana habari. ERB ni Bodi ya Usajili wa Wahandisi(Binadamu,Watu ambao ni Professionals)!
Usajili upo wa aina nyingi kidogo lakini zinazotuhusu wazawa ni Tatu kama siyo nne/tano:-
1. Consulting Engineers and Consulting Firms
2. Professional Engineers
3. Graduate Engineers(fresh from School au yeyoye atakayezembea kujisajili ERB hata kama ana miaka 40 kwenye tasnia ya Uhandisi bado atakua ni Graduate Engineer)
4. Professional au Graduate Technician Engineer
5. Technician Registration.
Unaweza kupata maelezo ya kina kwenye tovuti yao, wewe google ERB utapa yote hayo,japo nimeeleza kidogo baaddhi inaweza isiwe kiusahihi sana.
Swali lako limejikanganya kidogo. Umezungumzia Graduate Engineer kujisajili Bodi ya Wakandarasi. Hapo umekosea,kwa sababu CRB-Contractors Registration Board(Bodi ya Uasjili wa Makandarasi) haisajili watu,bali husajili Kampuni za Kandarasi za Ujenzi,Umeme,Mawasiliano na Specialist,kwa ufupi ili kusajili kuwa Mkandarasi lazima ufuate michakato yote ikiwemo Incorporation,MoU,Brela,Wataalam ikiwemo wewe Mhandisi na wataalam wengine,Vifaa,Mtaji nk.
Kwa kifupi
ERB-Wataalam
CRB-Kampuni za Kandarasi hasa za Miundombinu kama Ujenzi nk
Hope umeelewa, sio hicho unachoendelea kuandika.Oky sipo vzuri sana nlimaanisha Contractors, naomba kufahamu Usajili wa Engineers pale ERB mkuu
Asante mkuu.Kama umelenga ERB na hukuwahi kujisajili Tafuta fomu za Registration especially GE(Graduate Engineer).Nyaraka ambazo utaambatisha ni Cheti cha kidato cha 4&6,kuzaliwa,Cheti cha Chuo&Transcript yako.Aidha,usisahau kudumbukiza Ada yako ya maombi ya usajili.Baada ya kuwasilisha Maombi yako itakupasa kusubiri Board Meeting kujadiliwa kwa maombi,kama utakidhi vigezo Majina yatatangazwa na kuendelea na hatua ya kuanza kulipa Annual fees na kwa GE mpaka upate Professional Experience(almost above 3yrs not less)
Naomba uelezee hiyo njia ya kwanza SEAP mkuu.Dogo ngoja nikusaidie. Mana mi pia ni professional engineer. Kuna njia mbili.
1. Kupitia SEAP
2. Kupitia uandikaji wa technical professional report sharti likiwa uwe umeshafanya kazi za engineering zaidi ya miaka mitatu
nini tofauti ya mhandisi na mkandarasi?Hapo umechanganya madawa kidogo, ERB ni bodi ya Wahandisi.
contractornini tofauti ya mhandisi na mkandarasi?
Mhandisi ni Mtu ambaye ni Mtaalamu.nini tofauti ya mhandisi na mkandarasi?
na mm nasubiri hiloonini tofauti ya mhandisi na mkandarasi?
Mhandisi yoyote anaweza kua Mkandarasi lakini sio kila Mkandarasi anaweza kua Mhandisi.nini tofauti ya mhandisi na mkandarasi?
mbona bado unajichamganya tu kwani Contractorsni tofauti na neno wakandarasi linalokosolewa hapaOky sipo vzuri sana nlimaanisha Contractors, naomba kufahamu Usajili wa Engineers pale ERB mkuu