Salaam, Shalom!
Kuna msemo wa wasiojielewa usemao ati "Hakuna aijuaye kesho yake" huo ni uongo,
Kesho ya watu inafahamika na ni uamuzi wa mtu mwenyewe kuamua kesho yake iweje, sasa hapa duniani wapo wanadamu wenye KUISHI chini ya jua hili na wanaoijua kesho yao, ni akina nani hao?
JIBU: WATAKATIFU WAISHIO DUNIANI( WALOKOLE), NDIO WANADAMU PEKEE WENYE UHAKIKA,WAIJUAO KESHO YAO.
Aliyempa Yesu Kristo maisha yake, mwenye KUISHI MAISHA ya utakatifu,ndiye mwenye UHAKIKA juu ya kesho yake, ni mtu anayeishi, past, present na future kwa wakati mmoja.
Ushahidi huu hapa: (John 5:24)
Yesu asema: Amin, Amin, nawaambia, Yeye alisikiaye neno LANGU na kumwamini Yeye aliyenipeleka Yuna uzima wa milele; wala haingii hukumuni, Bali amepita kutoka mautini kuingia uzimani.
... Mwisho wa kunukuu.....
Mtu na asikudanganye, kuokoka, kuisikia injili, habari njema ya Yesu Kristo /Yeshua Hamashiach,Mungu aliyekuja Katika mwili wa Mwanadamu, ni muhimu sana, fursa hiyo amenyimwa shetani na mapepo waasi, wangependa waipate Ili kurudi Mbinguni lakini waeikosa,
Fursa hiyo umepewa Mwanadamu Tena ni wakati huu ukiwa hai, baada ya kifo ni hukumu ikiwa hujamwamini Yesu.
Na mtu aliyemwamini Yesu, jina lake likaandikwa KITABU CHA uzima, hasimami hukumuni siku Ile ya mwisho.
NOTE: MLOKOLE NI IMORTAL ( ZABURI 82:6).
Mlokole, mtakatifu, hana mwisho wa MAISHA yake, Mlokole ni Immortal, ni muungu, hana mwisho. Na uungu huo kaupata kwa kumwamini Yesu.
Ikiwa unapenda kuwa na hakika juu ya kesho yako, fuatisha sala hii;
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINA KUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE,UZINZI USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LANGU YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AAMIN.