Hii ilikuwa nyenzo yenye nguvu sana aliyowahi kuwa nayo. Watu walivutiwa kumsikiliza kwa kuwa pamoja na kuwa alikuwa mkali,, bado alikuwa na mizaha na vichekesho vingi katikati ya hotuba zake...
Kuna mambo mengi nimejifunza kuhusu Asili baada ya kumsikiliza Huyu mwamba.
UPENDO DHANA ILIYOPEWA TASWIRA POTOFU
Na Mlinzi wa Urithi Wa Kushi.
Katika historia ya binadamu, dhana ya...
Charlie Chaplin alipofariki akiwa na miaka 88
aliacha kauli 4:
1. Hakuna kinachodumu milele duniani, hata matatizo yetu.
2. Napenda kutembea kwenye mvua kwasababu hakuna atakayeyaona machozi...
Law of Attraction ni dhana inayosema kuwa unachowaza na kuamini kwa nguvu huvutia matokeo yake katika maisha yako. Kwa maneno mengine:
“Unachokifikiria mara kwa mara, unakivutia.”
Mambo ya...
Nakumbuka ndo nilikuwa nmemaliza kidato cha nne shule fulani jijini Mwanza.
Iyo siku niliwasiliana na mzee akanambia yupo road anakuja home, mzee hua unabana sana yaani akiwepo home hakuna kutoka...
Siku hizi kuna dhambi nyingi zilizopachikwa majina mazuri au ya kisasa. Kwanini? Hii ni hila ya shetani ya kuzipunguzia uzito au kuzipa uhalali katika jamii. Kwa njia hiyo shetani anawafanya watu...
Wanabodi,Mnyonge mnyongeni lakini kwa kutoa hizi body spray sanitizers ambazo watu wengi tulikuwa tunaziona ulaya na Asia zitasaidia sana,
Serikali baadae mfikirie jinsi ya kurahisha biashara za...
Nianzie mbali kidogo. Moja ya maazimio yangu kufikia January 1 mwaka huu ilikuwa ni kuacha kabisa pombe na kampani ya walevi. Pombe imenisababishia madhila kibao katika maisha ikiwamo kushusha...
Njaa ya siku 2 mnaijua mnaisikia ?
Akili ina ji reset kwenye default settings LIWALO NA LIWE
Ni kipindi hicho miaka ya nyuma kuna muda nilipata changamoto za kiuchumi, sikuweza kupata chakula...
1.Wapi kilipo originali cha Agano Jipya (Autograph) cha Kitabu Hata Kimoja? Wakristo wanakubali kwamba maandiko yote ya asili (autographs) yamepotea. (Original scripts za kigiriki )
Kwa hiyo...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupita Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalim amesema Serikali yake ikiingia madarakani itahakikisha inaboresha huduma mbalimbali...
Ukiachana na SAGA za kundi mtandao na arithmetic equation ya Nida+Inec +ccm, kuna kitu polepole atakuwa anakifahamu kuhusu shambulio la TAL2017. Itoshe kusema kwamba nimemsikiliza BETWEEN THE...
Habari wakuu
Kama kicha cha habari kinavojieleza,,,nimeplani mwezi wa kumi msimu wa kilimo kwa kanda ya ziwa, kwenda mkoa wa GEITA, hasa geita vijijini, kijiji cha BUTUNDWE
Lengo ni kwa ajiri...
Watanzania msifikir kucomment na kupost ndo inatosha kupaza sauti zenu kudai HAKI dhidi ya viongozi wabinafsi bali
watawapuuza kama vile hawajawaona.
Marekani waliandamana Hadi bungeni na ikulu...
#HABARI Waziri Mkuu wa serikali ya Yemen inayoongozwa na Wahouthi na mawaziri wengine kadhaa wameuawa katika shambulio la Israel kwenye mji mkuu Sanaa, mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Houthi...
Ndugu wapendwa, kama ilivyoandikwa katika Mt 24:11, hizi ni siku za mwisho; manabii wengi wa uongo wametokea na kuanza kuwadanganya wengi. Fuatilia Youtube na mitandao mingine utaona video nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.