Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

In life there are ups and downs lakini yatupasa kumshukuru Mungu. Mwaka uliopita mwezi wa 7 nlifanikiwa kujiajiri. Nilianza na kilimo Kilimo kilikuwa kizuri, mazao yalitoka vizuri sana. Shida...
75 Reactions
63 Replies
9K Views
Anonymous
Kata ya Buyuni – Mtaa wa Nyeburu, Barabara ya Mchimbo (Maarufu Kwa Baba Esther) Sisi Wananchi wa Kata ya Buyuni, Mtaa wa Nyeburu, tunapenda kuwasilisha taarifa ya kero inayotusumbua kwa muda...
2 Reactions
8 Replies
853 Views
Nimejaribu kuwaza sana matumizi ya hili tobo kwenye kisu ni nini nikapata machache tu,sasa naomba mnajuze wajuzi wa mambo
1 Reactions
12 Replies
752 Views
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepiga marufuku shule ambazo zilo ndani ya nyumba (skuli nyumba) na kuwataka wamiliki kujenga majengo yanayokidhi utoaji wa huduma kwa wanafunzi wao Akizungumza...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Eti wajuba tunao daiwa na heslb ivi Kuna msamaha wa deni au ndio majonzi Au Kuna ka upenyo ka kuomba kupunguziwa deni 🤣🤩🙌 Usinikatishe tamaa sasa nambichwa wako utajibu ovyo🤣🔥🤩
3 Reactions
8 Replies
507 Views
1.“Akaendelea kukaa huko hadi Herode alipokufa, ili litimie neno la Bwana alilosema kwa nabii, ‘Kutoka Misri nimemwita mwanangu.’” 2. “Sauti ilisikiwa Rama, kilio na maombolezo makubwa, Raheli...
4 Reactions
92 Replies
2K Views
Uchunguzi wa kina wa baadhi ya sehemu za Qur'an unaonesha kufanana kwa kiasi kikubwa kati ya simulizi zake na maandiko ya kale ya kidini yaliyotangulia Uislamu, hasa Ginza Rabba ya Wasabai na...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Hii ni ngumu sana kuamini lakini ukweli ni kwamba makusanyo ya sadaka na mali za waumini sehemu yake huchangia CCM Hao manabii na masheikh hawalipi kodi na ndiyo watetezi wa CCM
0 Reactions
1 Replies
230 Views
Yohana 1:29-30 Injili ya Yohana (Injili ya nne) inasema: "Siku iliyofuata alimwona Yesu akimjia, akasema:" "Tazama, Mwana-Kondoo wa Mungu aichukue dhambi ya ulimwengu! Huyu ndiye niliyemwambia...
6 Reactions
175 Replies
5K Views
Jeshi la Polisi mkoani Arusha limesema Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Gasper Temba, hajatekwa isipokuwa amekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kughushi...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Vijana wanaandaliwa katika standards ambazo haziendani na hali halisi ya ukata. Vijana wanaandaliwa katika matarajio ambayo hali halisi haiwezi kuyamudu. Vijana wamekuwa squeezed katika chumba...
9 Reactions
23 Replies
858 Views
Wanafunzi wakamuuliza Yesu, "Kwa nini basi waandishi husema kwamba ni lazima Eliya aje kwanza?" Yesu akajibu, "Kweli Eliya atakuja na kurejesha yote; lakini nawaambia kwamba Eliya amekwisha kuja...
8 Reactions
112 Replies
3K Views
Huyu mzee si akalime Kama zamani? Hapa ni 2017 alijifanya analima kumbe anapanga mambo yake. Huyu mzee😀😀
2 Reactions
8 Replies
753 Views
(Yohana 19:31-33) Kwa kuwa ilikuwa siku ya maandalizi, Wayahudi hawakutaka miili ibaki msalabani siku ya Sabato, hasa kwa sababu Sabato hiyo ilikuwa siku kuu ya ibada. Hivyo waliomba kwa Pilato...
1 Reactions
15 Replies
576 Views
Hakika mambo ni mengi lakini Mungu ni mkubwa na ni mwema wakati wote Just imagine alivyowavuluga wanadamu katika lengo la kujenga mnara mrefu pale mjini babeli Basi ndio unaambiwa ndio pigo...
0 Reactions
0 Replies
294 Views
CCM mtuambie hizi ndege zimetoka kwenye taasisi gani?! Tunaozijua tumeshajua zimetoka wapi, maana hazina utofauti na zile zilizotumika kutoa msaada kwa wahanga wa maporomoko ya Mlima Hanang...
0 Reactions
1 Replies
298 Views
Mwlimu for presidency Tbc wanaonesha ukomavu wa usawa
3 Reactions
5 Replies
395 Views
Hii nchi washaifanya kama ya bibi yao, ila kweli Lissu fundi na kiboko yao...CCM wanajua huu uchaguzi sio mkuu bali uchaguzi wakiduwanzi kuwahi kutokea.... Sijui watashangilia kuwa wameshinda...
3 Reactions
15 Replies
660 Views
Inaumiza mno aisee kijana wa JF 28 kuingiza 3000 kwa siku, hapo hapo anunue bando aangalie mambo ya polepole , hapo hapo ale, etc
3 Reactions
15 Replies
693 Views
Akiongea na East Africa huyu kijana anayeitwa Sir Samwel anasema anaingiza hadi Milioni 50 kutokana na Forex
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Back
Top Bottom