Maskini. Wala hakuwa na silaha au kundi la kusema anatishia maisha kiongozi yeyote. Tunamuua kwa sababu za kipuuzi kabisa. Na kunywa damu yake ili kusafisha nyota zetu.
Mwangalie hapa anatabasamu.
Neno “Forex” linatoka kwa Foreign Exchange Market, ambayo ni soko la kubadilishana fedha za kigeni. Kwa maneno rahisi ni sehemu ambapo watu, benki, mashirika makubwa, na wawekezaji huuza na...
Iringa imejaa wanyalukolo (wahehe) zaidi ya asilimia 70 ila kwenye mambo ya uongozi bado hawapo active, wana prefer zaidi kuongozwa,
Chifu wao wakuitwa nae ni kama mwakilishi wa wasafwa kwenye...
Maeneo ambayo mafuta na kiasi chake hukaa kwenye ndege
Visiwa viwili vilivyo karibu sana, vikitenganishwa na kilomita 5 tu za bahari, na wakati wa msimu wa baridi, unaweza kutembea kupitia maji...
Kwanza kabisa kwanini hautumii mitandao ya kijamii? Ilikuwa hivyo toka mwanzo au ulifuta baada ya kutumia?
Socia media zimekuwa sehemu mpya ya maisha ya binadamu kuendana na kasi na mabadiliko ya...
Msibani kwa ndugu zetu marehemu ni Msabato hivyo mwili waombe wa na umewekwa mbele kabisa ndani ya jeneza. Mchungaji akadai hizo siyo Ibada bali ni huduma Akadai Ibada ni dhambi na huendeswa na...
Aliishi mwanaume mwema aitwaye Khalid pamoja na mabinti zake watano: Asmaa (mkubwa), Layla, Huda, Nur, na Yasmin (mdogo zaidi). Baada ya kifo cha mkewe, Khalid alipata maradhi sugu yaliyomzuia...
Naandika nikiwa na huzuni sana hapa najiuliza ni uzembe wa Serikali au Uongozi wa Hospitali ya Mloganzila ulio chini ya Profesa Janabi au Dr Magandi...
Mwaka jana 2024 nilikuja na mgonjwa wangu...
Nawapongeza JF kwa kupaza sauti kuhusiana na ubovu wa mashine ya CT SCAN kwenye hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila.
Naona sasa Huduma za CT Scan zimerejea kama kawaida na zinapatikana saa 24...
💭 Inawezekana ikawa Habari mbaya kwako wewe developers au mtumiaji wa Simu za Android ambaye unapenda ku install apps nje ya soko la play store.
💭 Kupitia tovuti ya Android developers blogs...
Nchi nyingi za Afrika zimekuwa zikibadilisha mitazamo na sera zake kuhusu uwekezaji mara kwa mara, jambo ambalo mara nyingine huleta changamoto katika kujenga mazingira thabiti ya biashara...
Taarifa binafsi ni mali ya mhusika (mmliki wa taarifa). Haitakiwi kutolewa na mtu mwingine, kwani mhusika ndiye anayefahamu taarifa zake kwa usahihi, isipokuwa pale inapobidi kisheria au kwa...
Hii ndo maana halisi ya kurudisha kwa jamii. Kijana baada ya kufanikiwa kwenye mchezo wa riadha kaamua kurudi kijijini kwao na kujenga kambi ya kisasa ya mchezo wa riadha kisha kuwaweka kambini...
Samahani naomba kuuliza hivi hizi gari za STL zinaruhusiwa kutembea na Plate Number nusu kama hivi au isiyosomeka vizuri maana kuna nyingine pia nimeiona inayo mbele tu nyuma hakuna.
Au...
Nchi wanachama wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika wamekutana Lusaka Zambia kujadili masuala mbalimbali yenye lengo la kuboresha afya kwa nchi wanachama na agenda mojawapo ikiwa ni...
Baadhi ya wanawake wajasiliamali wa Tarafa ya Karema Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi wametoa kero ya kutokupata mikopo ambayo itawasaidia kuendeleza biashara zao.
Wanawake hao...
Ni kwanini Jinbril halikumwamini Mtume aliposema hajui Kusoma na kuendelea Kumkaba Nusura ya Kumwua? Natafakari sana jambo hili sipati majibu.
Hili Jin Bril kwa nini halikuwa linamwamini mtume...
Salaam Wakuu,
Kuna Video inasambaa ikimuonesha Sheikh akiomba kwa Mwenyezi Mungu muumba Mbingu na Nchi amchukue Msanii wa Bongo Fleva Afande Sele kabla ya ramadhan kufika. Je, kulikuwa na ulazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.