Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

JK amesema amesikitishwa sana na wana CUF kujitoa katika muafaka wa kisiasa visiwani ZNZ.Hivi ni kauli ambayo President alistaili kuitoa katika hotuba yake ya jana?Mimi nauliza hivi hiyo kamati ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hii ni sehemu ya makala iloandikwa katika gazeti la Tanzania Daima la Julai 2,2008. La kujiuliza ni jee mawazo ya mwandishi yanaweza kuwa kweli ukitilia maanani maamuzi ya CCM Butiama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa chama upinzani (CUF), Seif Shariff Hamad, ambaye ameondoka nchini kwenda nchi za Ulaya ambako inadaiwa atakishtaki chama tawala (CM) kwa kuzorotesha muafaka wa kisiasa Zanzibar...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Number of Muslims ahead of Catholics, says Vatican Tom Kington in Rome The Guardian, Monday March 31 2008 The number of Muslims has overtaken that of Roman Catholics for the first...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wana JF, Heshima Mbele !! Nafikiri tuna la kujifunza kutoka kwa wenzetu ambapo sisi tunakanyaga pale wao walipopita. DUBLIN, Republic of Ireland (AP) -- Irish Prime Minister Bertie...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
What was this golf phenomom thinking alipofanya hii pozi!!! http://www.eastafricayote.com/showthread.php?t=1938
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimesikia kwenye vyombo vya habari kwamba mkuu wa mkoa wa Mara kachanga 20m kwenye harambee ya Ccm kukusanya fedha kwa ajili jengo la CCM mkoa wa mara. Hii siyo haki kwani naamini fedha hizo...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
CUF yailaani CCM na Asha Bani na George Maziku Tanzania Daima~Sauti ya Watu CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeeleza kushtushwa, kusikitishwa na kukatishwa tamaa na tamko la Halmashauri Kuu ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu wana JF,nimesoma habari hii kutoka gazeti la Mtanzania na kuhisi kua hela zimeniishia mfukoni gafla. Najiuliza hivi uzembe serekalini utaisha lini? Bomoa bomoa hii ilikiuka mambo mengi ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kuvunja mwafaka na kuwasamehe mafisadi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Posted Date::4/1/2008 Waliobomolewa Dar wapewa kifuta machozi Sh.7milioni * Wao wazikataa, wamtaka Waziri Wassira Ramadhan Semtawa na Kizitto Noya Mwananchi SERIKALI imetangaza neema...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Watanzania wenzangu,napendekeza tuachane na kuadhimisha sikukuu ya wajinga. Mjinga ni mtu asiyejua kusoma au kuandika au vyote viwili.Namna nzuri ya kuadhimisha siku yake basi ingekuwa ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF, nimeona niweke hii habari hapa nikijiuliza kuwa, Je viongozi wetu wapo tayari kujiuzulu kwa shutuma kama hizi? MEP Alexander Stubb to replace Ilkka Kanerva as Foreign Minister...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwandishi Wetu Daily News; Saturday,March 29, 2008 @19:03 MWENYEKITI Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete juzi aliongoza harambee ya kuchangia CCM Mkoa wa Mara na kufanikiwa...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Mengi yatawajia siku za usoni
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Maximo ajiuzulu kufundisha Stars 2008-04-01 09:27:45 By Mwandishi Wetu Kocha Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbrazil Marcio Maximo amejiuzulu kufundisha timu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Huu ni utapeli wa hali ya juu. Wameshindwa kuthibitisha pesa zimekusanywa toka kwa kina nani na kiasi gani na wamezikusanya kwa njia ipi kama ni cash, cheque, money order n.k. zimewekwa kwenye...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Gavana wa zamani wa Bank Kuu ya Tanzania ametuwa juzi, kinyemela. Inasemekana baada ya hali yake kuwa nafuu kidogo, Balali amerudi mara moja kutoa "taarifa muhimu" kama alivyodai mwenyewe...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Dongo hili anapigwa Kikwete? Lakini kuna umuhimu wa kufahamishwa tangu aanza uVDG wake ameshaleta "wachukuaji" wangapi? wenyewe huwaita wawekezaji Serikali itathmini safari za viongozi - Kigoda...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
THE AUDACITY OF FREEDOM AND THE TENACITY OF DEMOCRACY Utangulizi: Waheshimiwa, Nimetumia muda kusoma kila post na kutoa shukrani kwa michango yenu yote na pia kupata muda wa kuachilia yote...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…