JK anaichezea amani ya ZNZ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK anaichezea amani ya ZNZ

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by a.9784, Apr 3, 2008.

 1. a.9784

  a.9784 Senior Member

  #1
  Apr 3, 2008
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JK amesema amesikitishwa sana na wana CUF kujitoa katika muafaka wa kisiasa visiwani ZNZ.Hivi ni kauli ambayo President alistaili kuitoa katika hotuba yake ya jana?Mimi nauliza hivi hiyo kamati ya muafaka JK alikua haijui?Big Up hatua mliyoichukua CUF kwani inaonyesha ni jinsi gani mmekereka na hatua ya ccm.CCM ni wasanii kama JK alivyo.
   
Loading...