Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Date::11/25/2008 Kashfa nyingine yaibuka kuhusu mashine mpya Muhimbili Jackson Odoyo na Zaina Malongo Mwananchi HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH) inadaiwa kukusanya Sh10milioni kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Bush praises Kikwete 2008-11-15 11:13:17 By Guardian Reporter U.S President George W. Bush has made a passionate appeal to the American people to cherish comments made by President...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mramba,Yona na mafisadi wengine kweli wamepelekwa mahakamani lakini bado hawajahukumiwa. Hata hatufahamu hatima ya mali zao ambazo wamezipata kwa njia za kifisadi.Lakini wapo pia mafisadi wengine...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimefuatilia utendaji wa awamu ya nne kwa ukaribu sana tena kwa muda wote.Kwa kweli vitendo hakuna kabisa.Inakuwa kana kwamba viongozi wetu wamepikwa na chuo fulani special cha kudanganya.Lakini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimeandika thread yangu "AND YOU SHALL KNOW THE TRUTH AND THE TRUTH SHALL MAKE YOU FREE" IMEPELEKWA MOJA KWA MOJA KWENYE ARCHIVES.Huku sio rahisi watu kuiona.Naomba 'administration' inipe maelezo.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
SHERIA inaruhusu mtu yeyote ambaye ana madai dhidi ya Rais wa nchi kufungua kesi ya madai hayo, ili aweze kupatiwa haki yake. Ni wazi kuwa mtu anaweza kujiuliza je, inawezekana vipi kwa raia...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
There are so many things which happen in our country today which you can't explain.I can probably generalize as moral decay,but surely touches our society in several aspects.We are in the same...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Denti wa Mama JK ajazwa mimba Mhe. Mungai alipuliwa Sorce Ippmedia 22/11/2008 Kama kuna mtu ameweza kupata makala hayo na kuyasoma atuwekee ili tujue yaliyojiri katika habari hizo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi ni myu ambaye napenda kuona usawa wa kijinsia unakuwepo nchini kwetu. Huwa napata shida kidogo swala la usawa wa kijinsia linavyotekelezwa na sera mbalimbali hapa nchini. Najuavyo mimi nchi...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wakuu, tazameni seketa imetokea Kenya na njemba imeswekwa Lupango miaka 4. Man pleads guilty to having carnal knowledge of cow Published on 29/10/2008 By Stella Mwangi A man stunned...
0 Reactions
20 Replies
12K Views
Date::11/22/2008 Mgomo wasababisha walimu kushushwa vyeo Gedius Rwiza Mwananchi KESI ya mgomo wa walimu jana haikuweza kuendelea kama ilivyopangwa baada ya Chama cha Walimu (CWT)...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani mwenye habari zozote za ziada juu ya jina hilo hapo juu...nilizonazo mimi ni kwamba ni kiwanda feki kinachotengeneza juice toka Morogoro, kikipatikana njia ya Mazimbu, karibu na shule ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanajamvi wenzangu,ningeomba tujaribu kutafakari FORMULA hii ilobuniwa na kuandikwa na gwiji mmojawapo duniani,ili tupne uwezekano wake katika kupunguza tatizo la wabongo wengi kutokuwa na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jengo la kitengo cha ukimwi Muhimbili lililopo jirani kabisa na Richmond Tower linawaka moto sasahivi. Mwenye habari zaidi aweke hapa.
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Kweli usitukane wakunga wakati uzazi ungalipo!!!!habari hii inanikumbusha siku precission air wameleta ndege majuzi mpya kabisa ,kukawa na kashfa nyingi mbalimbali ,,,habari kamili zilizotufikia...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Vibali vya 'content service' (CS) vinachukua muda mrefu sana kutolewa na Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), kwani muda unaowachukua waombaji kupata leseni zao haulingani na...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
-------------------------------------------------------------------------------- Salaam Wakubwa humu jamvini jamani kuna swala linanisumbua, hivyo naomba michango yenu kimawazo.... eti ni...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
A vet in Australia thought he was seeing double when a cat in labour gave birth to a two-headed kitten. The one-in-a-million grey and white mog can only use one of its two faces to eat because...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Date::11/20/2008 Wananchi watawanywa kwa mabomu wakigombea kununua viwanja Na Habel Chidawali, Dodoma Mwananchi POLISI wa kutuliza ghasia, FFU jana walilazimika kutumia mabomu ya machozi...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Katika pita pita zangu mitaa ya kati nimekutana na picha hizi. Nimeambiwa kuwa iko kusini mwa bara la Africa, nikaonelea ni vyema nizilete hapa ili niweze kuelimishwa......Hivi ni kweli mti/miti...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…