Tahadhari kuelekea christmas na mwaka mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tahadhari kuelekea christmas na mwaka mpya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Exaud J. Makyao, Dec 3, 2008.

 1. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2008
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Shamrashamra za SIKU KUU ZA Christmas na mwaka mpya zimeanza.

  TAHADHARI INAHITAJIKA,

  1. Vibaka sasa wamejiweka tayari kuwakwapua watu simu zao za

  mikonomni na vitu vinginevyo.

  2. Matapeli nao wakijua kuwa watu wanahitaji pesa za matumizi,

  wametunga mbinu nyingi kuwahadaa watu kwa kisingizio cha

  kuwajaza mapesa.

  3. Madereva wengi wasiorasmi sasa wanaendesha vyombo vya

  usafiri kwa lengo la kupata pesa za chapchap.Hawa ni rahisi

  kusababisha ajal.

  4. Kumbi zinazoitwa za Starehe zinaandaliwa kufanya

  maonyesho kama walivyofanya kule Tabora na kusababisha vifo

  lukuki vya watoto.Wanastarehe hao husema ''KUTAKUWA NA

  DISCO LA KUFA MTU '' na kweli watu hufa eidha kwa

  kuambukizwa virusi au kwa tukio kama lile la Tabora.

  Je hizi ni kumbi za starehe au ni kumbi za vifo?

  NASHAURI,

  1. Watu tuwe makini kwa kila tukifanyacho.

  2. Vyombo vya usalama viwe makini katika wajibu wao.

  3. Waumini tumwombe Mungu atuepushe na athari mbaya zozote.

  4. Sikukuu zitumiwe kwa kusudi halisi na siyo makusudi bandia.

  5. Watoto walindwe wasiingie katika uharibifu unaoitwa starehe.

  EXAUD JOHN MAKIYAO
  +255784347001
  makyaoexaud@yahoo.com
   
 2. Iteitei Lya Kitee

  Iteitei Lya Kitee JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2008
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 589
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nyuda Makyao kann?
  Asante kwa warning hiyo
   
Loading...