Wakuu nimeanza kupata rashes zinawasha sana!! Ni week ya 2 tangu nijichanganye kwene ngono zembe vip inaweza kua dalili ya HIV
Ushuhuda mzuri kutoka kwa wenye HIV au waliowai pata hili tatizo
Asante Mungu kwa nafasi nyingine madhara yangeweza kuwa makubwa kama kupoteza uhai ama kiungo chochote lakini umeamua kunipa majereha ambayo nimeweza kuyahimili na lesson kadhaa juu ya kuendesha...
Kuna tabia mpya imezuka nchini ya kuwalalamikia vitendo vya watu wanaopiga na ku-post picha za wapendwa wao wakiwa tayari wamefariki.....aidha wakiwa kwenye jeneza, kwenye matukio ya ajari au...
Kwa sasa tunaishi katika dunia ambayo tunaweza kupata kitu tunachohitaji Ila life is so tasteless.
Ukiangalia kila MTU anatafuta furaha katika Pombe , Weed , sex , Entertainment n.k
Kila...
Msaada ndugu zangu, naomba mtu binafsi mwenye uwezo wa kunikopesha 13m kaa riba atakayoitaka yeye naomba anisaidie.
TUtakopeshana kisheria,mahakama, na taratibu zote tutafata.
Nina Shida ya...
Hizi shule za chini hakikisha anasoma ili apande darasa, na ajue hisabati na kingereza na mtafutie tuition nzuri hata kama akisoma cheap schools , ana nafasi ya kuwa vizuri kwenye elimu kama...
Wengi bado tunaangaika, si tajiri wala si masikini, si wazee na wala si vijana, wote wapo kwenye heka heka za hapa na pale; haijalishi kwa siku wanapata kiasi gani, bali wako kwenye heka heka tu...
I got infected in 2006 when I was 18 and just about to finish my high school, looking forward to uni the following year... My then boyfriend who was way older than me and who probably knew...
Nguvu zetu za ndani zinaweza kuwa msingi wa mafanikio au kikwazo cha maendeleo yetu.
Tunaweza kujifunza jinsi ya kuzijenga na kuzibadili kuwa chanya ili kupata utulivu, furaha, na mafanikio...
Za jumapili wakuu moja kwa moja kwenye mada, hivi huwa mnadili vipi na ndugu wa namna hii yeye akikutafuta ni kukuomba hela tu,, na hakuna chochote anachokusaidia kwenye maisha yako.
Ni dada...
Imekuathiri vipi kwa maisha yako ya ukubwani?.
Je umekulia kwenye familia ambapo wazazi
Walikuwa na excessive controls na kukudhibiti kwa kila hatua yako ya ukuaji kiasi cha kukuathiri...
Natembea kuelekea Buguruni, eneo linaloitwa Binti Madenge. Mahala hapa kuna utitiri wa wafanyabiashara wanaouza mbao, huku wengine wakifanya kazi ya kuingiza mbao kwenye mapipa.
Ninavutiwa na hao...
Nikiwa Rais wa Tanzania ntaanzisha jurassic Park ambayo itakuwa kisiwa cha mafia na inatakiwa iwe kisiwa cha mafia ili turbosaurus, t-rex na wengineo wasidhuru watu
Jambo la kufahamu jurassic...
Ni sekta isiyovuma lakini yenye kipato cha kueleweka na vijana wengi wamejiajiri na wengine wamepata connection kupitia bustani za maua na maua
Ua ni pambo la asili lenye kuburudisha, kutuliza...
Habarini,
Kumekuwa na mgongano wa maslahi karibu kwenye kila famila ya kiafrika pale linapokuja swala la wazazi kuanza kumpeleka mtoto mdogo kuabudu dini fulani wakati mtoto hajui lolote na baadae...
Wachunguzi wanasema hivi:
Both Upepo Energy and Astra Energy are early stage exploration companies in renewable energy.
These guys at Upepo Energy are backed by a Venture Capital firm that...
Hata kama mtu ulimpenda Sana ila akifa Ile saa ya kumuwaga mpendwa wako unapita kwa speed yaani hata kukaa naye kwa ukaribu walahu dakika tano inashindikana.
Ni hisia gani hizo za hofu...