Maisha yamekuwa hayana jema kwangu nashangaa kwanini sifi

Tambua ya kuwa, watu hufa baada ya kutimiza lililowaleta.

Lako bado hujalitimiza. Likishafanikiwa utaondoka maana hutakuwa na faida tena katika dunia hii.

Tafakari zaidi kujua lengo la kuletwa hapa duniani ni lipi? Litimize alafu subiri kifo.
 
Haufi kwa sababu Mungu anampango nawewe mkuu!!


Inawezekana kabisa kabisa Mungu anakupitisha katika maisha ya aina iyo ili tu uweze kujifunza aina fulani ya maisha na namna gan yakua imara ??? Nani anajua????

Lkn inaweza kabisa kabisa, Mungu anakusubirisha ili mwisho akupe kinachokufaa na furaha yakudumu ambayo itatoka ndani yako nasio kwa vitu vinavyotuzunguka..nani anajua!???????


NEVER GIVE UP !!! Haijawah kua Rahisi popote pale.. Tutapiia nyakat ngumu zakiafya, uchumi, n.k yote hayo ni ugumu ambao leng lake ni kututhibiishia kua "HAIJAWAHI KUA RAHISI"
 
Maisha = kuishi
Sasa kama unaishi na haujafa
utasemaje maisha ambayo unaishi sio mema ?
 
Back
Top Bottom