Nawaita hapa wote. Wadau wa CCM , wadau wa vyama vya upinzani, wasio na vyama na watu wengine.
Maneno mtaani ni mengi kuhusu Serikali ya awamu ya sita.
Yanasemwa mengi kuihusu ikiwemo ufisadi...
Kina mama mna tatizo gani aisee? Mikopo.. mikopo.. mikopo. Kuna case kadhaa za kina mama kujiua kwa sababu ya kuzidiwa mikopo. Kuna cases za ndoa kuvunjika pia. Wanawake wengi mnakopa sana bila...
Kwa Mliotembea sehemu mbalimbali kwa Waganga, Hivi Mshakutana na Mganga Anayeweza kukuambia Shida yako hata kabla Hujamwelezea, Au Akakwambia mambo Yanayokuhusu bila kumwambia?
Wenye akaunti CRDB hali ni vurugu. Unatuma pesa haifiki lakini inaonyesha imekatwa
Unatuma pesa inafika, baadae inarudishwa
Unatoa hela ATM inahesabu lakini card inatoka bila hela.
Mikopo ya...
Jumla ya watuhumiwa saba wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Iringa kwa kuhusishwa na mauaji ya kijana aliyedaiwa kuiba parachichi. Jeshi la Polisi limesema watuhumiwa hao wanashikiliwa kwa...
Hellow wakuu,
Hebu tutafakari kidogo, kwa mfano wewe ni Rais wa TZ urais umeupata kutokana na mambo ya Mungu hujawahi kupigiwa kura
Halafu unaona wapinzani wako wanahamasisha watu wasipige kura...
GT.
JF mamlaka.zinatafuta mchawi ila ukweli ni kwamba JF "tumeonewa ila tumekubali kutii" kama alivyosema melo
Why?.
1..Kuhusu picha za ikulu waliopiga siyo JF hata kusambaa hazijaanzia JF hizi...
Tanzania tumebarikiwa Mungu ametupa ila kitu isipokuwa akili tu ya kutumia vitu hivyo vizuri tuna madini ya kila aina dhahabu, almasi, makaa ya mawe ,graphite, ruby ,tanzanite n.k
Mbuga za...
Steve Nyerere na genge lake la machawa wanabidi watumie muda mwingi kutafuta Maarifa na mbinu nyingi za kutengeneza filamu nzuri kama za enzi za kanumba kuliko kujikita na uchawa tu wa kusifia CCM...
Kutoka kwa Wananchi waliokerwa na kunitumia taarifa hii;
Huku online kurasa mbalimbali, anayedaiwa kuwa ni Willy Nass na anayejulikana kama msanii wa comedy na content creator wa mitandaoni...
Habari wakuu.
Bila kuwapotezea muda, kwa kila ambaye amewahi kutumia huduma za kibenki hapa Nchini kwetu Tanzania kuna tabia ya uchelewevu wa huduma na upotevu wa muda sana hasa ukifika Matawini...
Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) umepanga kuwaondoa watumishi wa umma na wapangaji wote wanaodaiwa na wakala huo, iwapo hawatalipa madeni yao ifikapo Septemba 30, 2025.
Mtendaji Mkuu wa TBA...
Kutoka CCM hadi ACT WAZALENDO ni maagizo kutoka juu kupitia kwa Zitto Kabwe
Walianza tume wakampitisha kuwa mgombea wa kiti cha urais muda kidogo tume wakasema hana sifa wapi na wapi?
Mara eti...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linawashikilia watu 192 kwa tuhuma za kujihusisha na usafirishaji na uuzaji wa dawa za kulevya, uvuvi haramu na utengenezaji wa pombe haramu aina ya gongo, kutokana na...
Ingekuwa ni zile nchi zilizoendelea bodi nzima na mkurugenzi wa CRDB wangekuwa wameshajiuzulu ila ni kwakuwa haya mambo tunafanyiana masikini basi tu
Pesa zinakatwa kwenye akaunti kihoe hae na...
Siku chache nilileta blames kuhusu Zero Brainer kutopewa nafasi kwenye michuano ya CHAN, ili tumpe nguvu na promo kulitangaza taifa. Kipindi naanza kumfatilia sikujua kama ni Mbongo, nilijua ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.