A
Anonymous
Guest
Nimefika ofisi za NIDA mara kadhaa kila mtu anayetaka kufanya malipo ya kitambulisho analalamika mfumo wa control number unasgida wiki ya pili sasa na wahusika wanakuja kazini na kurudi nyumbani kana kwamba kuna kazi wamefanya ,mamlaka husika walione hilo