Watu wasemekeanao majambazi wamevamia harusi moja kwa
kuingia na kuwaua watu watano na kuendelea kuwasha moto kwa wengine waliokuwa wakitafutwa,..habari zaiidi zinasema walipoingia walikuwa kama...
Na Saed Kubenea
BUNGE la Jamhuri limetishwa. Spika Samwel Sitta amengolewa meno na kurejeshwa katika dini yake ya asili.
Viwango na kasi Standard and Speed alivyosema ni mwongozo katika...
Ndugu mwema habari ya saizi,natumaini umelala hivi sasa
kama utaabahatika kuamka asbh naomba uamke kuminambili uonepolisi
wako walivyomfanya dereva tax pale kasulu ,...walienda wakamdai ameiba...
Jamani jana nilikuwa naangalia tbc kulikuwa na mada nzuri sana
walikuwepi mama abdallah,,mama nkya wa tamwa na mbunge mmoja sikumbuki jina...ahpo ndipo niliamini yule mama nkya ni kichwa cha...
Kweli mjini shule
jamani wakati taarifa ya kutaka kujitoa kwenye soko
la maafuta tanzania wengine tumeisikia leo hii
Meli kubwa iitwayo MT PLADDER ikiwa na mafuta shede ya ndege
imerudishwa...
Ikiwa ni ndani ya wiki moja Mkoa wa Tabora kukumbwa na ajali mbaya za vyombo vya usafiri( Bus) Basi lililoua watu zaidi ya 24 mwanzoni mwa wiki hii wilayani Nzega A.M coach dakika chache...
Hii imekuwa ni mizaa ya tcaa kila siku ajali zinatokea akuna kinachoendelea
watu wakifa ndio wanakumbuka kuwawajibisha watu......
Bado tunaendelea kufwatilia chanzo cha ajali halisi ila bado...
MCHUNGAJI wa Kanisa Anglikana Parishi ya Pandambili Jimbo Kuu la Mpwapwa-Kongwa mkoani hapa, Petro Namga, amesimamishwa kazi kutokana na kashfa ya kuwa na uhusiano wa kimapenzi na muumini wake...
WANA,
NAWATAKIA IJUMAA NJEMA NA MAPUMZIKO YALIYO MEMA YA MWISHO WA WIKI.
MSISAHAU KUCHEZA SALAMA.
FUNGUA ATTACHMENT KWA KUIFANYA IJUMAA IWE NZURI ZAIDI.
http://www.box.net/shared/qagb3j3h8s
PS wa Treasury anasema eti tunakusanya sh. 5 trillion lakini tunatumia 10 trillion? Na hiyo deficit ni mikopo ya nje na misaada. Jamani wakuu hii ni kitu gani lakini?
Eti deni la nchi limepanda...
Former Kipawa residents: We have been abandoned
By Rose Mwalongo
5th March 2010
Legal and Human Rights Centre (LHRC)
People moved to Pugu Chanika from Kipawa in Dar es Salaam to make...
Wana JF,
Tokea Kumekuwa na mabadiriko ya uhamisho kwa baadhi wa wakuu wa police wa mikoa eg Mwanza, Mara na kwingineko me ningependa kujua je mumeona hata tofauti yoyote ya uharifu kupungua au...
Barabara hii inatisha na ina msongamano wa ajabu unaosababishwa na ujenzi usioisha unaoendea.
Wakuu Kwa wale mlionko nje ya Dar, barabara ya Mandela huanzia pale ubungo mataa hadi kilwa karibu na...
Naomba wakati unasoma hii habari uwe peke yako na uwe umetulia, bila kubughudhiwa.
Hakikisha hakuna unaloliwaza wakati unapoanza kusoma kwani hiyo itakusaidia kung'amua kile ninachomaanisha katika...