Jethro
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 2,219
- 371
Wana JF,
Tokea Kumekuwa na mabadiriko ya uhamisho kwa baadhi wa wakuu wa police wa mikoa eg Mwanza, Mara na kwingineko me ningependa kujua je mumeona hata tofauti yoyote ya uharifu kupungua au ndio uharifu umeongezeka maradufu huko mikoania?
Mkoa wa Arusha kwa mfano ambao katika ramani ya Dunia umetajwa kuwa ni mji wa 8 miongoni mwa miji inayoongoza kwa uharifu duniani na kila kukicha uharifu huko wapamba moto na RCP wa mkoa huo haja amishwa hapo sasa sikuelewa ni vigezo vipi IGP alivitumia kufanya huo uhamisho wa ma RPC na kumwacha RPC wa Arusha nakumbuka Kombe alivyokuwepo hapo arusha nasikia palituria?
Pili Vyombo vya habari nashindwa kuvielewa havija tuma hata watu wao kufanya documentary kuhusu uharifu na dhani kuna matukio mengine pia jamani tuyaangalie Usalama wa raia au wanaogopa kama yaliyomtoke Jerry Muro nini?