Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

PS wa Treasury anasema eti tunakusanya sh. 5 trillion lakini tunatumia 10 trillion? Na hiyo deficit ni mikopo ya nje na misaada. Jamani wakuu hii ni kitu gani lakini? Eti deni la nchi limepanda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Former Kipawa residents: We have been abandoned By Rose Mwalongo 5th March 2010 Legal and Human Rights Centre (LHRC) People moved to Pugu Chanika from Kipawa in Dar es Salaam to make...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF, Tokea Kumekuwa na mabadiriko ya uhamisho kwa baadhi wa wakuu wa police wa mikoa eg Mwanza, Mara na kwingineko me ningependa kujua je mumeona hata tofauti yoyote ya uharifu kupungua au...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Barabara hii inatisha na ina msongamano wa ajabu unaosababishwa na ujenzi usioisha unaoendea. Wakuu Kwa wale mlionko nje ya Dar, barabara ya Mandela huanzia pale ubungo mataa hadi kilwa karibu na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba wakati unasoma hii habari uwe peke yako na uwe umetulia, bila kubughudhiwa. Hakikisha hakuna unaloliwaza wakati unapoanza kusoma kwani hiyo itakusaidia kung'amua kile ninachomaanisha katika...
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Wakati anakamatwa rubani feki alikuwa akiendesha ndege kama hii ya shirika la ndege la Corendon Airlines March 05, 2010...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
South Africa black-owned farms 'failing' BBC News Online In 1994 almost 90% of the land was owned by white South Africans Some 90% of farms redistributed to South Africa's black...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MAZISHI YA ASKARI WA BWANA YESU KRISTO MAJOR NASSON JOHN KITUTA AMBAYE NDIYE MMOJA WA WAANZIRISHI WA JESHI LA WAKOVU HAPA TANZANIA (THE SALVATION ARMY)...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
MAJAMBAZI wenye silaha wiki hii wamevamia nyumba ya Mapadri wa Kanisa Katoliki Changanyikeni, Dar es Salaam na wakarusha risasi kabla ya kutoweka na kompyuta ndogo na baadhi ya nyaraka za padri...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nina miaka 32.Ktk mtihani wa O-Level nina A moja zingine zote D.Je,nitaruhusiwa kufanya MATURE AGE ENTRY?
0 Reactions
9 Replies
5K Views
BODI YA CRB IMESIMAMISHA UJENZI WA JENGO MOJA LILOPO KARIAKO MTAA WA PEMBA KWA KUJENGWA BILA VIGEZO HALISI AKiONYESHWA NA MSIMAMIZI WA JENGO HILO AMBAE ALIULIZWA NANI BOSI WAKO AKADAI...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Picha inaonyesha jinsi gani moto ulivyoharibu miundo mbinu ya soko Thursday, March 04, 2010 2:58 PM Soko la...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakati akiadhimisha miaka 86 ya kuzaliwa wachambuzi wanasema Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ana nia kubaki madarakani mpaka kufa. Source VOA. sasa hii wandugu imekaaje je Tanzania Mh. Rais Jakaya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
MWAKA 2007, Rais Jakaya Kikwete alikaririwa akisema haelewi ni kwa nini Tanzania bado ni fukara ingawa imejaliwa rasilimali nyingi za asili kuliko nchi nyingi za Bara la Afrika. Rais Kikwete...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
A married lady was expecting a birthday gift from her husband. For many months she had admired a beautiful diamond ring in a showroom, and knowing her husband could afford it, she told him that...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Chapter 12 Islamic Rituals Voodoo Islam is incomplete without its endless, incoherent, and superstitious rituals. The Islamic ritual starts in the dawn, before the...
0 Reactions
71 Replies
12K Views
Proposed passport fee hikes draw ire By A. Pawlowski, CNN March 4, 2010 8:18 a.m. EST All of the increased security and the anti-fraud measures added to passports in recent years come at a...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
(CNN) -- The pilot of a Boeing 737 was in the cockpit, preparing to take off with 101 passengers, when police arrested him for flying with a fake pilot's license, investigators said. The...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Vijana wa CCM waliokuwa wakitoka Iringa kwenye kambi maalumu ya Uvccm taifa wamepata ajali mbaya jioni hii huku hali zao zikitajwa kuwa mbaya na sasa wapo katika hospitali ya wilaya Igunga baada...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
BY THE GUARDIAN TEAM 4th March 2010 Email Print Comments No local buyers, after govt export ban Deputy Minister of Agriculture, Food Security and Cooperatives, Dr David Mathayo David...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom