Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwanaume aitwaye Mugeta Maiga, mkazi wa Kwangwa A, Musoma mkoani Mara, amefariki dunia baada ya kupigana na mke wake Nyachiro Masatu kwa kutumia mapanga.
6 Reactions
99 Replies
8K Views
1.Kunguru ndiye ndege pekee mwenye ujasiri wa kukaa juu ya mgongo wa tai na kumdonoa shingoni. Bila huruma. Inakera. Lakini tai hubaki mtulivu 2.Tai hapigi mabawa. Hapigani. Hatumii nguvu ovyo...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Sio shabiki wa chama chochote cha siasa ila kuna haja ya kuskilizana, nikiangalia machafuko ya uko Congo, Msumbiji, bado tuna nafasi ya kua wamoja. Polisi kusema wamejipanga, raisi kasema yeye...
3 Reactions
3 Replies
244 Views
Kuna mda tunapoelekea sijui kama tuna jenga nchi embu pata huyu ndio kawa waziri
1 Reactions
8 Replies
371 Views
Siwezi shangaa Tanzania ilipofikia kwa sasa maana BASATA na TCRA wanaweza kuwa michepuko ya mtu mwengine. Sio tu wao hata idara nyingi sasa mfano wizara ya michezo ikaweza kucontrol TRA sasa...
1 Reactions
1 Replies
243 Views
Habari wakuu Tatizo la kushindwa au kuogopa kuongea mbele za watu ni janga kubwa sana. Mfano tafiti zinaonesha karibu 70%-80% ya watu hukumbwa na tatizo hili mara tu wanapopewa nafasi ya kuongea...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Nipo YouTube naangalia mahojiano ya Absalom Kibanda na Mwalimu wa Rostam Aziz nadhani wabongo wengi hujenga hoja au kumkosoa mtu kwa kufuata upepo bila kutafuta facts. Mahojiano haya yana facts...
2 Reactions
3 Replies
287 Views
Naomba ufafanuzi wa hili jambo maana kama iko hivi pesa zetu haziko salama Hoja: Nilikwenda kwa wakala hapa mbezi mwisho nikalipa pesa kwa wakala na akanitumia pesa na nikaona muamala kabisaa...
5 Reactions
62 Replies
3K Views
Binafsi nimewahi kwenda mara kadhaa nikiwa na timu fulani ya Mpira wa Miguu, Siku moja nikiwa na hiyo timu nilipewa kitu ambacho nilifunga katika maeneo nyeti 'sehemu za siri' HAKI YA MUNGU siwezi...
21 Reactions
433 Replies
89K Views
Unabii umekwisha timia Yesu naelezea baada ya mateso ya wakristo kipindi kile cha rumi ya kale mungu angerudi upesi lakini kuna dalili alizitaja. Mathayo 24:29-30 – Yesu anazungumza kuhusu...
3 Reactions
68 Replies
3K Views
Habari wana jukwaa! Huko mitandaoni nimeona habari kuhusu jamaa wa LBTQ kuwa wameruhusiwa na Kanisa Katoliki kuhiji kwa mara ya kwanza huko Vatican. Nimeona pia humu kuna uzi mmoja kuhusu habari...
6 Reactions
19 Replies
872 Views
Umasikini ni mbaya sana kiukweli nipo kwenye health services nikiwa mfanyakazi kiukweli naona jinsi watu wanavyo strugle kulipia huduma ya matibabu na jinsi wanayohangaika mpaka utawaonea huruma...
8 Reactions
22 Replies
753 Views
Yer 1:6 SUV [6] Ndipo niliposema, Aa, Bwana MUNGU! Tazama, siwezi kusema; maana mimi ni mtoto. Watu kama Yeremia wapo wengi Leo, wanaotazama hali zao za nje, au mazingira yao, udogo wao, na mambo...
3 Reactions
17 Replies
723 Views
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wametembelea mradi wa ujenzi wa bwawa la Kidunda, mkoani Morogoro huku ikisema wana nafasi ya kushauri na kusaidia mambo mbalimbali yakiwemo ya kimkataba...
1 Reactions
5 Replies
378 Views
Kuna hii tabia ambayo naweza kuita ni Wizi au utapeli wa wazi na mchana kweupe kwenye vituo kadhaa vya Mwendokasi. Siku hizi zile Kadi za Mwendokasi haziuzwi au zimezuiwa kuuzwa iwe bahati mbaya...
3 Reactions
10 Replies
466 Views
Katika ulimwengu wa leo, magari ya kifahari kama Rolls-Royce, Bugatti, na Lamborghini yamekuwa alama ya hadhi, mafanikio, na utajiri wa hali ya juu. Gari moja tu linaweza kugharimu zaidi ya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Closed
WAUMINI DKMS - KKKT S.L.P 10 LUSHOTO 03/04/2020 MKUU WA KKKT S.L.P 3033 ARUSHA TANZANIA Salaam katika Jina la Bwana na Mwokozi wetu Kristo! MALALAMIKO YETU DHIDI YA HUJUMA NA UBADHILIFU WA...
12 Reactions
402 Replies
65K Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam Januari 04,2025 majira ya saa 8:00 mchana lilipokea taarifa toka kwa wananchi ya kuonekana kwa gari aina ya Mercedes Benz lenye namba za usajili T 109DVY...
3 Reactions
58 Replies
4K Views
Familia moja kutoka Uingereza imehama kwenda umbali wa maili 5,000 baada ya kugundua kwamba walikuwa wanaishi “kwa kusurvive tu” wakiwa Uingereza. Natalie Furk, mwenye umri wa miaka 35, na mumewe...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko amekwepa kujibu swali kuhusu nani aliyehusika katika madai ya utekaji wa Edgar Mwakabela, maarufu Sativa. Bomboka alikwepa swali hilo akiwa katika...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom