Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Inashangaza kabisa eti mtu ni.mwalimu mkuu kabisa lkn hajawahi kufika hata hapo kenya au Malawi hata zambia. Nimeshangaa mno,ndo maana kumbe watanzania wengi ni waoga.
8 Reactions
20 Replies
865 Views
Watu wengi wanaosafiri nchi za nje huwa wanashauri kutumia e sim unapokuwa a broad inarahisisha mawasiliano , mimi sifahamu lolote namna ya ku install na kuitumia , na je inafaida kweli ?
2 Reactions
21 Replies
1K Views
TLS hata wakizuiwa kuandamana bado wananjia mbadala ya kutohudhulia mashauri mahakamani Serikali inapaswa kujitathimini kwa hilo ambapo watakaoumia na kukosa haki iliyocheleweshwa ni raia.
2 Reactions
14 Replies
557 Views
Tukatane barabarani tarehe 29 kwa wingi sana ili watuuwe wakatafute raia wengine wa kuwaongoza. Hatuwezi kufanya amani kwenye utekaji na mauwaji na ufisadi na kutubambikia kesi za uongo. No...
3 Reactions
4 Replies
290 Views
Wakili Peter Madereka anaongea muda huu na vyombo vya habari kuhusu mambo mbalimbali ya kesi zinazoendelea mahakamani.
1 Reactions
1 Replies
202 Views
Viongozi Wa Dini Wanavyofanya Matembezi Ya Amani Sio Kufanya Uchawa Bali Ni Kuliombea Taifa Amani Tulionayo Izidi Kudumu Kwenye Taifa Hili” Sheikh Walid Ameyasema Hayo Wakati Wa Matembezi Ya Amani...
2 Reactions
2 Replies
240 Views
Huyu ni tajiri mwenye nyumba nyingi za kupanga. Siku moja nikiwa barabarani, niliona duka la matunda lenye mazingira safi likiwa na viti na meza kwa ajili ya wateja. Nilipofika pale, nilimkuta...
7 Reactions
12 Replies
632 Views
Msiseme Sijawaambia! Fanya ulichokifuata kwake. Ukimaliza mlipe ujira wake mliokubaliana. Kama ahitaji ujira, basi mpe asante kisha rudi nyumbani kwako. Kama wewe ni 'msafi' basi waweza anzisha...
7 Reactions
46 Replies
2K Views
Wakuu, Ni zaidi ya miezi miwili sasa toka Chaula achukuliwe na watu wasiyojulikana, ambapo baba mzazi ameiomba serikali kama inamshikilia mtoto wake basi watoe taarifa wanamshikilia kwa kosa gani...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Hali ilivyokuwa asubuhi ya leo katika Kituo cha Mwendokasi, Kimara jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa mashuhuda, abiria waliamua kuingia barabarani na kusimamisha basi kwa nguvu, baada ya kukaa...
22 Reactions
219 Replies
12K Views
Ujumbe huu uwafikie wenye mamlaka wa kutoa maamuzi juu ya usafiri wa Mwendokasi. Hali ilivyo sasa inatisha na kuzidi kuwa mbaya siku hadi siku kutokana na kuwa na mabasi machache yanayofanya...
3 Reactions
11 Replies
947 Views
Ushawahi kujiuliza kuwa wale watu waliokuwepo kabla ya dini yako kuja wataenda wapi? Mbiguni au motoni? Dini inakufanya ukae mbali na Mungu wakati umekaa nae hapo pembeni yako. Dini inakufanya...
7 Reactions
42 Replies
1K Views
Danieli 9:27 Naye atafanya agano thabiti na watu wengi kwa muda wa juma moja; na kwa nusu ya juma hiyo ataikomesha sadaka na dhabihu; na mahali pake litasimama chukizo la uharibifu; na hivyo, hata...
2 Reactions
7 Replies
530 Views
Binafsi nakunywa pombe mara mojamoja, naweza kupitisha mwezi sijanywa ila nikinywa huwa nalipiza siku ambazo sikunywa kabisa. Hii imenikuta wiki chache zilizopita tulikuwa na event na marafiki...
36 Reactions
1K Replies
177K Views
Mahakama ya Mazingira na Ardhi nchini Kenya imezuia kampuni ya Taifa Gas kuendelea na ujenzi wa kiwanda cha gesi ya LPG chenye thamani ya Shilingi bilioni 16 katika eneo la Dongo Kundu, Mombasa...
5 Reactions
15 Replies
930 Views
Wakuu mama mkuu/superior wa Shirika La Wakarmeli Duniani Sista Lilian Kapongo na Wenzake wanne Wafariki Dunia Leo Sasa Tano asubuhi wakielekea airport Kwa safari ya Dar es salaam. ----- TANZIA...
9 Reactions
45 Replies
3K Views
Nataka kuokoka ila bado nipo njia panda kila nikisoma biblia nakosa majibu sasa wajuvi wa mambo nauliza hivi kati ya Yesu na Mungu aliyetajwa kwenye biblia la agano la kale ni wote wako sawa...
1 Reactions
6 Replies
381 Views
Watu husubiri mpaka masaa 2 kwenye vituo vikubwa na muda mwingi vituo vingine, mfumo wa watu kugombania kupanda gari za mwendokasi kwa vituo vya kimara, Morocco, Gerezani na Kivukoni ni mfumo...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amesema haiwezekani Vyombo vya Usalama nchini kuchunguza Matukio ya Uhalifu ikiwemo Utekaji na Mauaji yanayoripotiwa nchini kwasababu vinatuhumiwa...
7 Reactions
38 Replies
3K Views
Mshahara ni baada ya makato Je ni mkoa gani mzuri unaoweza kubalance vizuri Gharama za maisha, huduma za kijamii, usalama na utulivu wa familia ARUSHA - ❌❌ Huu mkoa unakoelekea hata sijui, kuna...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom