Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu, kila nikijaribu kufikiri ni mafuta gani haya yaliyoandikwa kwenye bajeti hii nashindwa kuyaelewa, ni mafuta gani yamemaanishwa hapa sisi walugaluga tutokwe na tongotongo
2 Reactions
40 Replies
1K Views
Usiombe yakukute, kunja nne uhadithiwage tu Ni kijana msomi, alipomaliza degree yake alipata udhamini wa kusoma masters, alipomaliza tu akapata ajira, kwa elimu yake na taasisi alipo mambo ni...
5 Reactions
7 Replies
424 Views
Habari Tanzania ! Naomba kuwapa changamoto Bank of Tanzania (BOT), Commercial Banks; Taasisi zote ndogo za fedha na Mitandao ya simu inayofanya miamala ya kifedha nchini. Kwanini pasiwepo na...
1 Reactions
4 Replies
386 Views
Barabarani hapa karibu kabisa na kituo cha osterbay polisi kuna gari NI la polisi ila linafanana na Yale ya jeshi la IDF kwa juu kina kama radar inazunguka Ile kazi yake ni Ku detect kitu gani...
5 Reactions
11 Replies
467 Views
Uongozi wa kampuni ya loliondo mnahitaj kuwafanyia semina elekez watumishi wenu kitengo cha mizigo Ipo hivi-: Tulipanda garI kutoka mwanza kuelekea arusha na tulipokaribia kufika Babati zikiwa...
2 Reactions
8 Replies
439 Views
Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi 2022 kwa Wasanii ambapo jumla ya wasanii ni 96,727 Tanzania bara 88,365 Zanzibar 8,362 Mkoa wa Dar es salaam umeongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wasanii...
0 Reactions
3 Replies
290 Views
KUPATWA KWA JUA TAREHE 21 Katika siku za hivi karibuni turishudia tukio la blood moon, mwezi kuwa kama damu ambali kitaalam linaitwa kupatwa kwa mwezi. Sasa kuna tukio lengine la kupatwa kwa...
3 Reactions
42 Replies
2K Views
Mnamo Septemba 18, 2025 katika mahakama ya wilaya ya Nachingwea limefunguliwa shauri la Uhujumu Uchumi namba 22689/2025 mbele ya Hakimu Mwandamizi Mkuu Mh.J.Mnguto, Jamhuri dhidi Seleman Ajibu...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Wakuu habari za wakti huu. Leo nimelileta mezani hili jambo. Jamani Dar hali sio shwari mitaani kwani kuna ongezeko kubwa la mashoga au makaka poa kila kona ya jiji. Wengine ni waume za watu...
12 Reactions
291 Replies
52K Views
Wakuu habari. Moja ya shida kubwa inatugharimu sisi wanazi wa Simba kukosa furaha na timu yetu kutoeleweka ni kutokana mambo ya kuendekeza ushikaji na huruma za kipuuzi. Mfano zaidi ya misimu...
6 Reactions
4 Replies
422 Views
Taarifa za hivi punde kutoka Bukoba ni kuwa polisi wawili waliokuwa na tabia ya kuzizia wananchi na kuwatoa rushwa wamevamiwa na wananchi kisha kupigwa mithiri ya vibaka kabla ya kuokolewa na...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Shalom wakuu, Naomba kama kuna Mchungaji wa Kanisa la Kilutheri humu(KKKT) au muumini mbobezi anisaidie kunijibu maswali haya; 1.Kwenye Kitabu cha Tumwabudu Mungu wetu ukurasa wa 489 kuna Imani...
7 Reactions
87 Replies
3K Views
Arusha, Ilikuwa ni mwezi wa saba kama huu, Mwaka 2017 nilikuwa Ndo nipo form four [emoji16][emoji16][emoji16] (Najua me bado nyokaa sana kwa wengi wenu humu ndani ila fresh sio kesi) Ilikuwa ni...
13 Reactions
166 Replies
27K Views
Wakati Tanzania ikiendelea na harakati za Uchaguzi Mkuu, October 29, 2025, Huku hali ya kisiasa ikiwa na sintofahamu nchini. Ripoti ya Country Governance and Government Index (CGGI) Imeorodhesha...
1 Reactions
12 Replies
421 Views
Hapa siandiki kama mpiga zumari wa CCM wala siandiki kwa mihemko wala mahaba ya siasa bali nawachana ukweli wanaojidai kuhamasishana ujinga Tanzania kwa kiasi kikubwa zaidi ni waislamu na...
3 Reactions
48 Replies
1K Views
Kwanza naheshimu serikali na natambua juhudi yake katika kuhudumia wananchi, kulinda na kudhibiti taarifa zao. Zamani sehemu ya huduma kwa jamii ambayo ilikuwa na usumbufu namba moja ilikuwa ni...
1 Reactions
3 Replies
403 Views
Kwa mara kadhaa zisizopungua tatu na zikiachana kwa muda wa zaidi ya mwaka mmoja nimekuwa nikipata ndoto mbaya sana zinazopelekea kukosa usingizi hadi asubuhi. Kuna muda huwa nawaza huenda huwa...
2 Reactions
10 Replies
379 Views
Habari, kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu. Mimi nina uzoefu kwa kiasi juu ya vyakula kwa kuwa ni mtafiti, tabibu na pia ninamiliki duka la rejareja. Ingawa sipati muda wa kukaa mara...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
1. Juzi Siku ya Jumapili ya tarehe 30 June 2024 walifika polisi 10. Eti akiwemo askari wa usalama barabarani (Traffic police) wanataka kumuhoji Edger Edson Mwakabela 2. Walipozuiwa kuingia wote...
27 Reactions
87 Replies
5K Views
Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Nchini Professa Philipo Sanga amesema Mkoa wa Tabora ni kinara kwa asilimia kubwa ya watu wasiojua kusoma na kuandika katika mikoa mitano nchini...
3 Reactions
6 Replies
382 Views
Back
Top Bottom