Kifo ni kitu kisichokwepeka, lakini baadhi ya tabia ukiendekeza zinaweza kuzidisha hatari ya kupata matatizo ya kiafya ambayo yanaweza kukutesa ukiwa bado hai, hasa kuanzia miaka 45.
Kunywa pombe...
Inasemekana kwamba tukio limetokea jana (20.2.2025) majira ya saa saba mchana.Mkoa wa Pwani, Kibaha, Njuweni, sheli ya Puma.
Huyu kijana (boda boda) alikuwa anapambania maisha yake, akaomba...
Moja la Morocco
Moja la Mbezi-Gerezani
Moja la Kimara-Gerezani
Inavyoonekana hii route ya Morogoro Road leo ina gari zisizozidi 10.
Kimsingi hali ya hii taasisi ni mbaya sanaa.
Mwandishi wa habari wa Kituo cha Televisheni cha EATV, Marco Kilo amedaiwa kushambuliwa wakati akiendelea na majukumu yake ya kihabari katika Kituo cha Mabasi yaendayo kasi (Mwendokasi) cha Mbezi...
Hii ni dharau kubwa Ifike pahali misaada ya namna hiyo ikataliwe!
Kule bukinabe jamaa alikataa misaada ya ujenzi wa misikiti akawaambia wajenge shule hospital na viawanda wakauchuna.
DSTV inamilikiwa na MultiChoice Group, kampuni ya Afrika Kusini yenye makao makuu Randburg, Johannesburg. MultiChoice ilianzisha DStv mwaka 1995, na tangu wakati huo imepanuka kutoa huduma za...
Katibu mtendaji hafanyi hatimizi wajibu wake kimegeuka kijiwe cha kupiga soga na kuombana rushwa bila kutekeleza majukumu yake.
Hii Nactvet makao makuu ya Dodoma mnashindwaje kumaliza shida za...
Natumaini upo vizuri Mimi kijana wa miaka 29 sasa Nina mke na watoto watatu,,katika kipindi Cha nyuma mwaka 2019 nilipatwa na matatizo ya afya ya akili sababu ilikuwa kutokana na msongo wa mawazo...
Thabo Bester aliyekuwa akitafutwa kwa udi na uvumba na mamlaka za afrika ya kusini amekamatwa leo asubuhi huko mkoani Arusha, Bester maarufu kama Facebook rapist anatuhumiwa kwa makosa kadhaa...
Nimekaa sana Kigamboni na nimetembea sehem nyingi, sehemu kubwa ya Kigamboni ni mapori tuu, miundombinu mibovu sana, barabara za lami ni chache mno, hakujajengeka sijui kwanini watu hawajengi Kwa...
Chaguzi 2025 Barani Afrika: Orodha
Hizi ndizo chaguzi zijazo kwa muundo wa orodha.
Januari 2025
12 Januari 2025: Comoro – Bunge la Muungano
Februari 2025
2 Februari 2025: Togo – Seneti...
Habari,
Pagination ni nini ?
kitaalamu pagination ni zile buttons za next and prev hizi zinakuwezesha kuona comment zaidi zilizo hide mfano 1, 2, 3, 4, 5, 7 ambapo hapa jamiiforums zipo pale...
Ule muda wa ukombozi nadhzani ushafika hakuna nafasi tutaipata ya kuikomboa Tanzania kama hii huu ndo ule muda wa kuwakabia kwa juu nb.
Kama huwezi kufanya pressing usije road bora ulale
Jeshi la houthi lisababisha vifo ya mamilioni ya watoto huko yemen na kuacha utapia mlo ambao upo hadi leo unatesa watoto.
Jeshi la ISIS liliwateka wanawake wa kisyria na iraq na kuwageuza...
Ni mara chache hutokea ukanunua kiwanja kwa ajili ya ujenzi kisiwe na migogoro, aidha kwa aliyekuuzia au jirani yako akasogeza mpaka ili mradi mgogoro utokee,
Wakati mwingine unaweza kuuziwa...
Serikali ya Afrika Kusini imetumia Tsh. Milioni 175 sawa na (R1.4 milioni) kukodi ndege kutoka Tanzania hadi Afrika Kusini kuwarejesha wafungwa Thabo Bester na Dk Nandipha Magudumana waliokamatwa...
Yamenikuta sijui hata nisemeje.
Watanzania sisi watu wa hovyo sana.
Mtu nimeamua kukupa nafasi ya kulipwa kila mwezi ila wewe unaharibu biashara.
Yaani leo kama niliwahi kuwasema vibaya...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kueleza changamoto ya kuunganishwa na Huduma ya TTCL Fiber, kupitia ukurasa wa Instagram baadhi ya waliotoa maoni wamedai kuwa baadhi ya watendaji wamekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.