Ukiangalia ripoti za uhamiaji kesi za Burundi wahamiaji haramu ndio wengi.
Kama ilishakuwa nchi iliyo shindwa ni bora kuwa muunganiko wa Tanzania hata Kaskazini mwa Congo kuwa jimbo linalotegemea...
Hizi karibuni nililalama kwamba TCRA ambao wametakiwa kupokea maombi ya ajira za PAPU hawajaweka details. Soma Hizi nafasi za kazi za PAPU zinazopitia TCRA hazina infomation za kutosha rekebisheni...
Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu, Robert Makaramba atoa tafakari juu tukio la Polisi kuwapiga wafuasi wa CHADEMA katika Mahakama kuu.
"Nilikuwa nashangaa Polisi ndiye anayepaswa kujua kwamba Mahakama...
Uichunguza dini zote za kigeni, zimejitahidi na bado zinaendelea kutufanya tuwe watumwa. Zinatuhimiza kumuona Mungu asiyeonekana kama bwana, mfalme, mkombozi na anayetumilki kulhali. Inakuwaje...
Kuna kipindi fulani, hasa miaka ya 1990 hadi mwanzoni mwa 2000, jina Discovery Channel lilikuwa alama ya heshima kwa yeyote aliyependa kujifunza kupitia runinga. Ilikuwa ni “chuo cha nyumbani,”...
Njoo Zanzibar uone watu wanavyojua kumwaga Hela.....
Mtaji ni mdomo wako na how smart you are.
Yani wazungu bana....kutembea nae beach nusu saa anakupa 50 usd.....
Hahaha sifungui hata ajira...
Chid Benz kapitia mengi Ulimwengu huu ambao na wengine wamepitia ila kimtazamo tanzania tunaona kama wakikosa mafanikio ni wamerukwa na akili.
Binadamu wanaamini ukiwa na mafanikio wewe...
Moderator naomba Uzi huu usiunganishwe kwingineko
Wadau hamjamboni nyote
Mada imezingatia ushahidi wa kimaandiko hivyo natarajia wachangiaji waje pia na ushahidi husika
Nàam kwa mujibu wa...
Wakuu,
Inaonekana raia wameanza kuchoka na ukatili na vitisho kutoka kwa baadhi ya askari wa Jeshi La Polisi.
Hapa ndio sehemu CCM imefikisha vijana ambao wanaonekana hawana la kupoteza...
Mwenye asili haachi asili yaani wapinzani kuwaamini viongozi wastaafu wa CCM au waliokimbia CCM ni kosa ka jina na hawatokaa waiongoze nchi hii kwa hao ni mamluki na wako kazini kuichafua CCM kwa...
Mheshimiwa waziri wa Elimu na Tamisemi je mnajua Gharama tunazotakiwa wazazi kulipa kama ada na michango mingine kwenye shule ya binafsi ya Alpha sekondari School iliyopo Mikocheni Dar es Salaam...
Naomba leo nielezee kidogo kuhusu huyu mjomba wangu ambaye alikuwa tegemeo langu kipindi fulani ila alishindwa kunisaidia na nikajikuta nakuwa na maisha magumu sana huko jijini Dar es Salaam...
Leo naomba niweke sawa hili kwanini sikuwa Daktari licha ya kwamba nilipata nafasi kutoka kwa rafiki wa karibu wa mjomba na mwishowe nikawa nafanya Utanesco.
Katika uzi wa Safari ya Dar es Salaam...
Nimekutana na mwalimu wangu wa shule ya msingi kwa sasa ni mstaafu ila mpaka jina langu kaniambia.
Walimu wanakipawa gani kujua watu na kila siku wanapokea idadi mpya ya wanafunzi.
Sitazitaja majina hizi taasisi zetu., nyingi sana nimeshawahi kuzipelekea proposal za project wengi walikuwa wanashangaa proposal nilizokuwa nawapelekea, wengine unaambiwa appointment ndo imetoka...
Katika kiwango cha atomu, wazo la "kugusa" (touch) ni udanganyifu.
Atomu nyingi zina nafasi tupu, zikiwa na kiini kizito katikati na wingu la elektroni.
Unapojaribu kugusa kitu, elektroni katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.