Mke amuua mume wake kwa panga

Mke amuua mume wake kwa panga

Ngapi ngapi huko?
Dah..... 😳
 
Hiyo ni mtu na mumewe, nadhani taarifa iliyopo huyo mwanaume alikuwa ni mtumishi dereva serikalini na mwanamke ni nurse,

Sasa mwanamke alipomuua jamaa usiku asubuhi kaenda zake kazini kama kawaida,

Mi naishia hapo jamaa atarudi kujazia
Aisee!!!? Yan akaondoka kwenda kazn kama vile mwenzake ataamka tena
 
Dah..... 😳
Duuh, kwahiyo 2-1
 
Back
Top Bottom