Ni huzuni moto ambao chanzo chake hakijajulikana umezuka na kuteketeza nyumba moja yenye vyumba saba, ikiwa na wapangaji watano katika maeneo ya Gogoni, Kata ya Kibamba, Wilaya ya Ubungo mkoani...
Mtandao wa Billionaires.Africa umetaja majina ya watu 10 matajiri zaidi nchini Tanzania, ukizingatia vigezo vya uwekezaji, ushawishi, na mchango wao katika maendeleo ya uchumi wa taifa. Orodha...
Tunaishi katika nyakati/zama za mwisho kabisa huku unabii kuhusu UNYAKUO WA WATAKATIFU WALIOKO DUNIANI /KURUDI KWA YESU MARA YA PILI kukiwa kumekaribia sana kwa mujibu wa ufunuo na maandiko...
Wameona mambo ni mengi sana Mtandaoni wananchi wanakabia juu kwa juu, sasa kazi ni kufanya brain washing kwa vijana wanaotoka kambini na kurejea mtaani
Natumai mmewaambia namna ya kuja kupambana...
Yani nataka niangalie mechi za league ya italy na ujerumani kali sasahivi zinaendelea lakini ndio hivyo tena, naishia kuangalia league ya kenya na mechi ya Caf confederation.
Kulikua na haja gani...
Si vyema kutaja idadi ya Wakristo walioko kwenye utumishi wa umma ila kila mtu anajua kuwa Wakristo wako wengi sana kwenye corridor za majengo ya umma.
Leo ni sherehe muhimu sana kwa Wakristo...
Kuna hii tabia ya watumishi walioajiriwa na serikali kukaa kwenye ajira kwa miaka kadhaa halafu wanaandika barua kwenda masomoni kujiendeleza au wengine wanabadili fani kabisa ,kama alikuwa...
"MAZOEA" YAKO HUJENGA MWAMBA MGUMU KATIKA MOYO WAKO
Anaandika Robert HERIEL
Yule Shahidi
Ingawaje maisha yanatufundisha tusiwe na MAZOEA kila siku, hayataki tuzoee lakini Sisi ndio...
Mvutano Kati ya Uislamu, Historia na Akiolojia
Uislamu ni mojawapo ya dini kubwa duniani, ukidai chimbuko lake kuwa ni ufunuo wa Mungu mmoja kwa Nabii Muhammad katika karne ya 7 huko Arabia...
Yer 2:28 SUV
[28] Lakini wako wapi miungu yako ulioifanya? Na wasimame hao, kama wakiweza kukuokoa wakati wa taabu yako; kwa maana hesabu ya miungu yako ni sawasawa na hesabu ya miji yako, Ee...
Abiria wanaotumia usafiri wa Mwendokasi wameshuka kupitia madirishani katika Kituo cha Magomeni Mwembechai, jijini Dar es Salaam, baada ya basi walilokuwa wakisafiria kusimamishwa na polisi kwa...
Kama kila kosa la Bajaj na bodaboda ni sh. 10000 mkiwatoza effectively hata mabosi wao hesabu hawataziona. Mkiwapeleka Mahakamani watajazana huko na serikali itakuwa busy kwa vitu visivyo na...
Kuna video imesambaa sana kwenye social network especially Twitter. Ambayo kwa mtu yoyote akiitazama kwakweli itamharibia siku.
Katika video hiyo fupi ya dakika kadhaa inamuonyesha mwanadada wa...
Tunduma Kuna uvushaji wa mbolea za ruzuku kupeleka Zambia kwa njia ya magendo.
Hii kazi inasimamiwa na vijana wa CCM, wao wanajiita vijana wa chama chini ya mbunge wa sasa David Silinde na wao...
NImeshangaa kusema ukweli, nilikua natoka kwenye pilikapilika zangu Mikoani, wakati nashuka Stendi kuu ya Mabasi ya Nyegezi nikakutana na harufu kali ambayo kimsingi haivumiliki.
kugeuka kushoto...
Vyoo vinavyotumiwa na abiria pamoja na watu mbalimbali ndani ya Stendi ya Mabasi ya Nyegezi Jijini Mwanza, havina huduma ya maji safi na salama kwa muda wa zaidi ya mwezi mmoja, taarifa ikiwa ni...
Check huyu ticha . Naona anawaiga police wa Samia. Ticha ni kilaza na hana maadili ya kazi yake
Pia soma ~ Mwalimu wa Shule ya Sekondari Makumbusho (Dar) afukuzwa kwa kosa la kutoa adhabu kali...
Wakuu heshima yenu.
Nipo nafanya process za kukopa mkopo mdogo wa miezi sita tu maana Nina jamu ya chapu hapa.
Lakini Cha ajabu naambiwa sifa zangu ni mbaya..... msg hii hapa
"Dear customer, you...
Kwa mujibu wa utafiti wa Taasisi ya American Lung Association (ALA), vijana wenye kati ya miaka 18 hadi 24 duniani wanazidi kuingia katika matumizi ya 'Shisha' licha ya Kilevi hicho kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.