Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Yesu Kristo - Mbabe wa mapepo, majini, wachawi na roho wabaya wote "Na pepo waliokuwa waovu walipomwona, walianguka mbele yake, wakapiga kelele wakisema, Wewe u Mwana wa Mungu!" Luka 4:41...
21 Reactions
128 Replies
5K Views
Askari wa Jeshi la Magereza mkoani Njombe Erasto Mlelwa (26) amejiua kwa kujirusha kutoka kwenye gari la polisi baada ya kubainika kushiriki mauaji ya askari mwenzake wa jeshi hilo Dickraka...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Kinachotakiwa ni kuweka dalala katika madaraja mawili ya nauli kama ilivyo katika vivuko ferry(Azam na cha serikali). Mfano Makumbusho mpaka posta zinawekwa daladala ambazo nauli ni shillingi...
0 Reactions
2 Replies
288 Views
Askofu mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dk. Stephen Munga, amefariki dunia alfajiri ya Septemba 20, 2025, akiwa katika Hospitali ya...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu, amekuwa akipaza sauti mtandaoni, akidai eti Yesu sio Mungu, hakufa msalabani, hakufufuka, na hata kudai kuwa kitabu cha Mathayo kimejaa upotoshaji. Amekuwa akijulikana kama...
12 Reactions
107 Replies
4K Views
Wanajua tu mi ni mzee wa mamizigo rafikiye sheikh Kipozeo. Of course Kipozeo amebaki kuwa rafiki yangu nikija Bongo lazima tuonane na anipe stories kadhaa. Sasa nmefurahi kwa kuwa insta...
0 Reactions
2 Replies
176 Views
Binti mmoja ajulikanae kwa jina la Hadija mwenye umri wa miaka 17 amefariki dunia baada ya kuchomwa visu kadhaa na kijana wa mwenye nyumba aliyofikia kufanya kazi. Sababu za kijana huyo kufanya...
8 Reactions
80 Replies
4K Views
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kuna changamoto kwenye manunuzi ya umeme (LUKU) inayosababisha wateja kushindwa kununua umeme kupitia mitandao ya simu ya Yas...
0 Reactions
1 Replies
472 Views
Waokota taka jijini Dar es Salaam wamehimizwa kujiunga na matawi ya Mtandao wa Waokota Taka Dar es Salaam Rejeshi (MTAWADA) yaliyopo katika mitaa yao, ili kuwezesha kupaza sauti zao dhidi ya...
1 Reactions
2 Replies
328 Views
Kamanda wa Polisi katika Mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga ametoa taarifa ya kifo cha Dickraka Mwamakula (24) aliyekuwa askari wa Jeshi la Magereza katika Mkoa wa Njombe. Na kwamba, kijana Mwamakula...
9 Reactions
34 Replies
2K Views
Kipindi cha nyuma Lissu hakuwa na wafuasi wengi kama ilivyo hivi sasa ,ndio maana hata alipogombea urais 2020/2025 dhidi ya Magufuli alibwaga kirahisi tu kulinganisha na Magufuli dhidi ya Lowasa...
0 Reactions
3 Replies
261 Views
Nimetafakari sana juu ya jambo hili, katika mambo ambayo Watanzania bara wamekuwa wakimlalamikia Raisi Samia kwamba anafanya mambo fulani kama vile uraisi wake wa Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania...
5 Reactions
54 Replies
2K Views
Ukiangalia nchi za mashariki ya mbali ambayo miji yao ni ya kisasa mfano china, gulf countries kama dubai utaona Architecture ya majengo yao ni nzuri sana na inavutia kwa macho uhitaji kwenda...
6 Reactions
19 Replies
732 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila leo tarehe 22 Septemba, 2025 amekabidhi magari mawili aina ya Toyota Land Cruiser Prado yenye thamani ya shilingi za kitanzania milioni mia mbili...
2 Reactions
8 Replies
468 Views
Ni muda muafaka sasa kwa jamii kuliona hili tatizo ambalo linakua kwa kasi na litakuja kuwa na madhara makubwa sana siku za baadae. Linapokuja swala la kukemea maovu tusiwe na double standards au...
0 Reactions
5 Replies
533 Views
Kuna dogo huku mtaani kampiga meridian bet milion 58 halafu dogo tu miaka 29 Nimejionea kwa macho yangu betting inalipa. Hapa anatuomba ushauri ma broo wake asijui tumpe ushauri gani...
11 Reactions
172 Replies
7K Views
Kwa takribani wiki nzima wakazi wa Nyegezi, Mwanza wamelazimika kuchota maji mitaroni baada ya huduma ya maji kukosekana kabisa bila taarifa yoyote kutolewa. Cha kushangaza, ni baada ya...
1 Reactions
2 Replies
231 Views
Yer 4:30 SUV [30] Na wewe, utakapotekwa, utafanyaje? Ujapojivika mavazi mekundu, ujapojipamba mapambo ya dhahabu, ujapojitia wanja machoni, unajifanya kuwa mzuri bure tu; wapenzi wako...
0 Reactions
0 Replies
160 Views
Kwa sasa mafundi wanalipiga lipu nje ukutani limenivutia Sana Ila sijapata nafasi kusoma kibao kujua client ni Nani? Msaada wajuzi wa mambo ni ubalozi, apartment, msikiti, au nyumba ya mtu.
4 Reactions
6 Replies
547 Views
Je, askari laki 2 wanawazeje kuzuia maandamano nchi nzima watakuwa kwenye vituo vya kupigia kura na barabarani nchi nzima kwa idadi hiyo ? Sasa inamaana wananchi watawaogopa askari wawili watatu...
6 Reactions
22 Replies
845 Views
Back
Top Bottom