Afisa elimu mkoa mbeya kiwembe na anaua eimu mkoani

wagagagigikoko

Senior Member
Dec 5, 2010
163
49
Afisa elimu wa mkoa wa mbeya bw jj kaponda amekumbwa na kashifa lukuki za ufuska mkoani mbeya.
Akiongea kwa minajiri ya kutotatwa jina shuhuda mmoja wa matendo ya kibosile huyo mbaba, aliutonya mtandao huu kuwa mkuu huyu ameachanisha ndoa ya mtumishi wake anayeanzia na herufi r baada ya mmewe kugundua kuwa jj anakula chakula chake
 
hao ndio zao hasa kwa waalimu wapya akigoma tu kumpa uroda ujue anapangiwa shule ya porini kama adhabu!ila tahadhari ukimwi umetapakaa sana sasa hv!
 
Back
Top Bottom