Ngeleja yuko TBC live anazungumzia mambo ya umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ngeleja yuko TBC live anazungumzia mambo ya umeme

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtego wa Noti, Dec 23, 2010.

 1. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  WanaJF, ngeleja yuko TBC live na anaendelea na msimamo wake kuwa suala la mgao wa umeme litakuwa historia tz...Tune on TBC redio na TBC 1
   
 2. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  ni kipindi cha maswali, jamaa anamuuliza kuwa waizir haoni kuwa tatizo la umeme ni sababu ya ufisadi?
   
 3. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  jonson from mbeya anasema ngeleja anaongea siasa kwenye masuala ya msingi kama umeme
   
 4. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  ngeleja anajikanyaga tu hapo tbc
   
 5. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  kwa hayo maelezo yake ana maanisha kuwa tanesco walim-mislead
   
 6. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  anasema netgroup solutions ndio waliokoroga mambo yaliyoharibu tanesco
   
 7. M

  Mariatu New Member

  #7
  Dec 23, 2010
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Duh!! Kazi kweli kweli, ina maana kuwa "hakuchanganya na za kwake".
   
 8. kintu

  kintu JF-Expert Member

  #8
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 508
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Tup`eni update maana kwetu mugao wa Ngeleja umetutembelea Jioni ,hatujui hatma yake nini
   
 9. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #9
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  tanesco wanasema wangefurahi kama wangepewa asilimia 38 walizoomba, hiyo 18 waliyopewa ni ndogo mno...
   
 10. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #10
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  wanasema hilo onezeko kwa mtu wa kawaida wa level ya D1 ni sh 11 tu. anasema ni kidogo tu na anashangaa kwa nn watu wanalalamika
   
 11. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #11
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  kama mtu alikuwa anatumia 10000 kwa mwezi, atatumia sh ngapi? ni sh 12000 kwa mwezi kwa sasa baada ya hii nyongeza
   
 12. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #12
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  kuhusu gesi kupanda...mtu wa ewura anasema gesi haizalishwi hapa nchini, hii ya songosongo haiwezi kutumika kama gesi ya kutumia nyumbani
   
 13. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #13
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  anasema bei iko juu kwa sababu haizalishi hapa nchini. zinapopanda bei za mafuta na ges inapanda hapa nchini
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Dec 23, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Eti!!
   
 15. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #15
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  unashangaaaaa nn?
   
 16. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #16
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  kuna mtu ameuliza kwa nn tutegemee umeme wa maji na wakati kuna umeme wa jua?
   
 17. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #17
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  peter chacha kasema kodi za tanesco zimekuwa nyngi na ewura hawana kazi lakini wanapewa pesa bure tu...waziri anawatetea kuwa wana kazi kubwa hasa kurekebisha bei za mafuta
   
 18. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #18
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  mtazamaji mwingine kauliza ile mvua ya kutengeneza kwa nn haikutengenezwa wakati huu wa mgao?
   
 19. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #19
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  ngeleja anasema wana mipango mingi ya kuzalisha umeme kama vile solar, wind/upepo n.k. anaasema umeme wa bahari ni ghali sana kuupata ndio sana nchi nyingi haziuzalishi
   
 20. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #20
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  mbona hakuna waziri anayekuja na mkakati wa kudumu? anasema mipango ya kudumu ipo na wanategemea kuzalisha megawati zaidi ya 1500 in the next three years na anazidi kusema mgao wa umeme itakuwa ni historia
   
Loading...