Akuitwa amechinjwa Ndani ya daladala

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,412
4,559
BREAKINGNES . AKUTWA AMECHINJWA NDANI YA DALADALA MIYOMBONI IRINGA

Maiti ya mzee Bukuri ikiwa imechinjwa shingo na watu wasiofahamika usiku wa leo ndani ya daladala isiyofanya kazi

Wananchi wa mji wa Iringa wakitazama maiti hiyo leo asubuhi

Daladala iliyokutwa maiti hiyo

Tukio hili la kinyama limetokea usiku wa kuamkia leo katika eneo la Miyomboni katika manispaa ya Iringa ambapo aliyeuwawaamefahamika kwa jina moja pekee la Bukuri na inasadikika alikuwa akijihusisha na kazi za kusaidia kushusha samaki wabichi katika eneo hilo.
Habari kamili ya tukio hili utaipasa katika kipindi cha matukio cha Redio Overcomers Fm (98.6 ) leo saa 1 .00 usiku ama sikiliza Redio wapo Fm kwa wakazi wa jijini Dar es Salaam pia waweza kusoma gazeti la Tanzania Daima kesho Ijumaa,ama katika utaisoma katika mtandao wa http://www.shwari.com/

Courtesy of Francis Godwin
 
Brutality is deeply entranched in Africa, imagine this. Butchering your fellow human like a hen!!!!!
 
mmmh,hii picha imeniogopesha sana nimewaza ni ukatili gani huu mtanzania wa leo anaufanya.daah..!Mungu amlaze marehemu mahala pema,amina
 
Usikute kajichinja mwenyewe, hawa wanyarukolo hawatabiriki!
 
kinachonishangaza, Pembeni ya hili dala dala kuna Club moja (sine club) huwa inafungwa mida ya saa tisa asubuhi.
Kama hili tukio lilotokea kabla ya mida hiyo, Lazima wanywaji wangesikia Eidha sauti au purkushani za aina yoyote ile.
Na kama hili tukio lilitokea baada ya mida hiyo. Kuna duka la kuuza samaki pembeni linafunguliwa mishale ya saa kumi asubuhi. Ambapo nafikiri ndipo huyu mzee alikua anafanyia kazi, Hivyo lazima kungekua na shuhuda wa hili tukio pia.
Naomba jeshi la polisi mfanye kila muwezalo muweze kuwakamata hawa wahalifu. Nakumbuka kama miezi mitatu iliyopita hapo hapo miomboni Ulipatikani mwili wa mwanadada umetekelezwa na watu wasio julikana.
hivi kwa hali hii tutafika kweli?
 
Murder Crime Scene Investigation ya Kitanzania wadhani watafanikiwa kweli?? kwa kuanza ni hiyo statement yako inatosha kabisa kuanza na uchunguzi. ila kuna makosa kidogo na la kuanzia ni
1:Kosa kubwa ni tukio limetokea na watu wameisha jaa eneo la tukio na kushika shika vitu wakati pana takiwa kuzzuiliwa watu wasipasogeleee kabisa kwa ajili ya uchunguzi.

2: Katika hili Police wetu huwa wamesahau kabisa swala la kutumia vinasaa vya kukamata alama za mikono na huwa wananvyo hivyo vifaaa.

Kwa kuanzia kuchunguza ni kujua yafuatayo.
1. Kujua kafa Muda gani,Jina lake nani,Umri,Anakaa wapi,any witness(walinzi,)?
2:Gari ni la nani,Nani alikuwa akiliendesha gari(Finger Print zatakiwa kutizamwa za dreva;sasa hivi kuna watu wanachukua driving License mpya)
3:Chunguza Maeneo hayo ya tukio kujua palikuwa na harakati gani,

Ila sasa sijui kama police wetu huwa wana Procedures za kufanya uchunguzi makinifu na kama wakianza kwa kufanya hivyo kidogo watu wataogopa kuuana kiholela

Back
Top Bottom