Kwanini hawa wakorea hawapigani??

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,974
1,400
niambieni hawa jamaa wa korea ya kusini na kaskazini kila siku ni mizozo na kuonyeshana uwezo wao wa kivita..lakini hakuna kinachoendelea hili ajulikane nani mbabe...

Kwa ufupi korea ya kusini ni nchi iliyoendelea sana katika bara ya asia ikichukua nafasi ya 2 kwa maendeleo kwa asia,huku japan ikiongoza..,

kila siku warning mie nataka kuona mchezo wa hari halisi..huku baba yao US akiangalia kwa mbali ..huku Russia akiangalia kaskazini na US kusini..

China kimya kwani anagopa biAshara zitavurugika na majimbo yanayotaka kujitenga basi itakuwa wakati muafaka kujitenga.kwa maana hiyo vita hivyo viatasambaa asia ya mbali yote.

NATAKA KUONA GAME KAMA ENZI ZILE ZA IRAQ NA AFGHANISTAN KIPINDI CHA BUSH
 
wenyewe ndiyo wanataka kupigana...sasa mie nifanye nini...fuatilia world news on ccn or bbc..
 
that war will never happen. Hizo ni tambo tu mkuu. The one and only big reason ni kuwa north korea wana miliki nuclear weapons. Huwezi pigana nao coz u never know wakaamua kutumia kweli ikawa kilio cha kusaga meno kote kote. Na siku iran nayo ikimili nuke basi ujue watakuwa untouchables no matter what!
 
Duh! yaani unashabikia vita utazani upo primary unagombanisha madogo!!
 
Back
Top Bottom