Wakuu naendelea na ujenzi kwenye nyumba yangu Sasa mimi kawaida huwa napenda nifanye kazi na fundi bampa tu bampa kama saidia wake Sasa jana fundi wangu alileta fundi mwenzake na saidia wake Sasa...
Baada ya kuona vurumai lililotokea usiku wa leo na chap hatua za haraka zimechukuliwa ikiwemo kuwatengua baadhi ya staffs na kuongeza mwendokasi ,ili kupunguza mihemko kwa wananchi.
Kiuhalisia...
IGwe!
Moja ya vizazi vya hovyo kuzaliwa nchi hii basi ni kizazi cha miaka ya 80's.
Hiki kizazi kimejaa kina baba na kina mama wabinafsi wa kupindukia, waoga wote wako humu, machawa wote...
Septemba 29, 2025 Serikali ya Tanzania, Zambia na China walisaini mkataba wenye thamani ya dola bilioni 1.4 ( Takribani Trilioni 3.4 Tshs) kwa ajili ya ukarabati wa reli ya Tanzania-Zambia...
Bila shaka umeshasikia mtu kaua mtu kwa kuwa anamdai mtu buku au hela chini ya buku. Wengine hata kufikia hatua ya kuua watoto wao kwa makosa yanayohusika na kupoteza kiwango hicho kidogo cha...
Mtoto wa mstaafu Marehemu Ali Hassan Mwinyi, Abbas Mwinyi ambae ni Kaka wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Mwinyi Leo Septemba 25 amefariki Dunia akiwa Hospitali...
Mahakama ya Wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam imemhukumu Josephat Joseph Waitara Mwenye umri wa miaka 27 mkazi wa Kigamboni Dar es Salaam kifungo cha maisha baada ya kupatikana na hatia ya...
Akiwasilisha ripoti yake kwa Rais, Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali, Charle Kichere ameeleza kuwa mashirika 12 kati ya 217 yaliyokaguliwa yametumia Bilioni 371 katika matumizi...
Hizi Simba na Yanga muda mwingine utumika kusahaulisha watu kuhusu mambo mengi yanayohusu Nchi. Leo hii CAG katoa Ripoti lakini vichwa vya habari mitandaoni ni Simba na Yanga na TFF. Ni kama hili...
Hata serikali ikaamua kukaa naye tu hata mwaka hakuna shido.
Maana sumu aliyoitema imeshaenea nchi nzima now yeye anapumzika tu kama bosi aliyeacha majukumu kwa wafanyakazi wake kisha yeye...
Siku zinayoyoma kwa kasi kuelekea Oktoba 29, 2025.
Kuna pande mbili kuu zenye mitazamo tofauti kabisa kuhusu nini hasa kinapaswa kutokea siku hiyo. Je, itakuwa siku ya kutiki au kutikisa?
Pande...
Katika mji wa Dar es Salaam unaokua kwa kasi kubwa – kijamii na kiuchumi – changamoto ya usafiri wa umma imeendelea kuwa doa kubwa katika jitihada za kuimarisha maisha ya wakazi wake. Mradi wa...
Shalom,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Mh Rais tunaomba umtumbue boss wa TTCL haiwezekani tangu apewe uongozi mwaka 2016 mpaka leo kampuni ipo ovyo.
Kampuni haijiongezi na pia huyo boss sio...
Watanzania wameamka mno
Story za Yanga na Simba hazitambi mtaani
Story za udaku za sijui Diamond kaachana na nani hazitambi
Magazeti ya siasa yananunuliwa mno
Watu wanahoji mambo ya msingi Kwa...
Kwa kweli sijawahi kuona raia useless kama hawa wa Kimara na viunga vyake. Yaani kila siku wanateseka na foleni, wanabebwa kama mizigo kwenye mwendokasi, lakini bado wako kimya, wakiwa wamekaa kwa...
https://www.youtube.com/watch?v=Wdo4iyyC_HA
Tanzania ina kila sababu ya kujivunia kwa kuwa na vijana wa aina ya huyu Mohammed Abdalah Kassim ambae ni mtoto wa mjini na mzaliwa wa Magomeni Makuti...
Mofat imeingiza Mabasi tayari. Sijapenda yalivyo na rangi ya CCM. Hii ni Nchi ya Vyama vingi. Au aliambiwa usipopaka kijani hatukupi Tenda?
KAMPUNI ya Kitanzania ya MOFAT ambayo ilipewa mkataba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.