Na Thadei Ole Mushi.
Walimu wa nchi hii asilimia 90 uliwaambia kwa nn Viongozi wa CWT huwa wanapigana wenyewe kwa wenyewe hawawezi kukuambia na wala hawajui chochote.
Nataka leo usijiulize...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Muliro Jumanne, amesema mbali na Mabasi ya Mwendokasi na Vituo vinne vya Mabasi hayo kupigwa mawe usiku wa jana, baadhi ya Wananchi hao walifanya...
Wakili wa kujitegemea jijini Mwanza, Willbard Kilenzi ameishauri serikali kuwasaka na kuwachukulia hatua kali za kisheria baadhi ya watendaji wa umma wanaovujisha nyaraka za serikali kwa watu...
Mabasi Mapya yaendayo haraka ya Kampuni ya Mofat yameonekana asubuhi ya leo (2/10/2025) yakibeba abiria katika vituo vya mwendokasi yakitokea Gerezani kwenda Kimara-Mbezi.
Hii inakuja siku moja...
Juzi 1/10/2025 nilitoa fedha kwenye ATM, hata hivyo pamoja na fedha kutoka kwenye AC yangu fedha hiyo haijatoka kwenye mashine.
Fedha hiyo nilitakiwa kulimlipa mdeni amabaye ananida, pamoja na...
Habari .
Leo mtaani amekuja mkuu wa wilaya pamoja na jeshi la polisi kumkamata mtoto wa miaka 12 Ambaye anaishi na kaka yake kwa kosa kupandisha bendera ya Canada kwenye mti ambao upo hapo...
Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi huko nchini Tanzania imeanza kutoa majina kwa wilaya tofauti kwa ajili ya usahili , wasimamizi wa uchaguzi ngazi za wilaya watakuwa na jukumu la kuwafanyia usahili...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso (Mb) amemtaka mkandarasi wa mradi wa maji wa miji 28 wilayani Mafinga kampuni ya Jandu Plambers LTD kuongeza kasi ya utekelezaji wa mradi ili kufanikisha hitaji la...
"Kunakuwa na Mlundikano wa vijana wanalalamika, hamna ajira ni uvivu wa kufikiria wa vijana wengi tuliokuwa nao, tunailaumu sana serikali lakini hatujitoi, we unamtandao wa kijamii unashinda huko...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amewaonya Wakandarasi wanaochekelewesha ameonesha Miradi ya Maendeleo na kuonyesha kutoridhishwa na kasi ya utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Miji 28 unaotekelezwa...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amekataa maelezo ya Mkandarasi na kumtaka aoneshe vitendo zaidi katika kazi ya utekelezaji wa mradi wa maji miji 28 Katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi; unaogharimu...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa wa fedha katika sekta ya maji katika Jiji la Mwanza kwani miradi mingi...
Nakariri maneno ya Hayati Robert Nesta Berhane selasie Malery alisema katik Rat Race " I abudance of water the fool is thirsty".
Kwamba mji wa Mwanza ulioko pembezoni mwa Ziwa victoria, likisemwa...
Ni muhimu serikali iache kiburi. Kuomba radhi ni ishara ya uungwana na uwajibikaji, siyo udhaifu. Badala ya kutisha wananchi kwa kauli za kupiga na kuwavunja miguu, viongozi wanapaswa kutafakari...
Tunapenda kuwakumbusha kuwa ni takribani mwezi mmoja sasa tangu Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alipozindua rasmi chanzo kikuu cha maji kwa Jiji la Mwanza — tukio ambalo...
Ikumbukwe kwamba Tarehe 14 mwezi October 2024 katika Maadhimisho ya Kilele cha Mwenge wa Uhuru Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumzia hali ya huduma ya...
Jiji la Mwanza lina kumbwa na Changamoto ya mgao mkali wa Maji.
Huwezi kuamini Tz ni nchi ya aina gani? Na hali ya kushangaza Jii lililo mita 60 kutoka ukingo wa Ziwa Victoria Pande zote iwe...
Wananchi wanataka usimame hadharani juu ya mambo mawili makuu ambayo yamegeuka mateso makubwa na fedheha kwa jiji:
Maji – Takribani mwezi mzima chanzo cha Butimba kimeharibika. Ulizindua mradi...
Ukweli Mchungu
Viongozi wa mkoa wa Mwanza wanaendelea kukwepa ukweli na kugeuza hali ya maji kuwa siasa.
Tayari ni takriban wiki ya tatu sasa jiji la Mwanza linakumbwa na ukosefu mkubwa wa maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.